The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Una uhakika gani mwanzoni alikua na Mungu kabla ya kujifungamanisha huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika gani mwanzoni alikua na Mungu kabla ya kujifungamanisha huko?
Iko hivyo.. Hawa watu ndio watakuwa kuni huko jehanumKuna sehemu nilisoma mkasa wa kweli..kijana anasemawanapewa mafuta kutoka kuzimu..wako wanadanganya yanatoka sijui Israel
Ndo yanafanya uponyaji kwa nguvu za Giza na kuvuta watu kwa hiyo miujizaUt
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo naskia wanasema hivo mkuu..ASA hivi hamn nyomi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivyo.. Hawa watu ndio watakuwa kuni huko jehanum
Jr[emoji769]
Hata uongee maneno makali vipi haiondoi ukweli,
Sawa!Tudifurahie wenzetu wapatapo matatizo hata km walikuwa waovu ama matapeli maana hatuijui kesho yetu na Mungu anatuhesbia kila tusemalo na tutendalo na tutafuna kulingana na hayo,yamkini yy anavuna aliyoyapanda
Sent using Jamii Forums mobile app
stephot!Itakuwa kweli ana Kisukari,ngoma siku hizi haiwezi kukupeleka mpaka kunyonyoka nywele wakati ARVs zipo za kumwaga,ila kizamani watu walikuwa wanafikia hiyo hatua,ajipange aende Nigeria akaombewe kwa TB Joshua,huwa nona wachungaji kama yeye kutoka mataifa tofauti wamekwenda kuombewa na kupona.....
Soma hii
Alitumiaje vibaya....alishirikiana vipi na nguvu za Giza???Alitumia karama yake vibaya halafu akafanya featuring na mambo ya giza... Mungu hadhihakiwi
Jr[emoji769]
Jawapatani na TB kabisa,nakumbuka aliwahi muita tapeliItakuwa kweli ana Kisukari,ngoma siku hizi haiwezi kukupeleka mpaka kunyonyoka nywele wakati ARVs zipo za kumwaga,ila kizamani watu walikuwa wanafikia hiyo hatua,ajipange aende Nigeria akaombewe kwa TB Joshua,huwa nona wachungaji kama yeye kutoka mataifa tofauti wamekwenda kuombewa na kupona.....
Energizer yaani anakuwa haamini ama hana nguvu ya kimungu pekee hivyo huboost na uchawi
Vitu gani vinathibitisha hayo????Energizer yaani anakuwa haamini ama hana nguvu ya kimungu pekee hivyo huboost na uchawi
Jr[emoji769]
Tunahitaji tufunguke macho aisee..tunafuga majini na kuyanyonyesha bila kujua
ili awe kama kirungu cha kipepe eti... acha basiAt least angenyoa hizo nywele