Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Muliro huo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliongea ukweli mchungu hata mungu hakubali umasikini.
Konyagilism effect
Ndo bin adam tulivo hivo mkuu!!huwa tunajisahau saana pale tunapo pewa neema na Mola ,,!![emoji29][emoji29]Dooooooh upako kwishnee... mdomo wake ulijaa maneno ya kejeli kejeli anasema "hapa kwangu sina kimeo hata kimoja zote hizi gari kalii" mimi mtu wa perfume kaliii Mungu anisamehe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... utaskia "nitatongoza wake za watu wangapi...wivu tuuu.. waume zao wakiniona nilivyo wanajua wake zao hawawezi kunikataaa"... "umeona hizi nywele zangu.. sipaki dawa mimi hizi ni natural"
Nadhani utaenda kumuambia baba ako wakati unasubiri ugali wa kengele kuwa Leo umaefanya kazi sana,Hivi wewe nae unaijua dunia ? Pole
Bwege sana wewe et gridi ya taifa[emoji38][emoji38]Ugua pole mchungaji!
Watanzania siku hizi huwa hatuchelewi kutoa ubashiri ambao hautuhusu, utasikia anasumbuliwa na gridi ya taifa.
Hata Yesu walipotaka kumkamata alijua kabisa ila hakuwaambia kuwa imeandikwa so tuli Mungu atimeze unabiii
Katawaze ulale , uwahi shule kesho , naona umeanza kuandika nonsense.Nadhani utaenda kumuambia baba ako wakati unasubiri ugali wa kengele kuwa Leo umaefanya kazi sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaugonjwa gani mkuu? Mbona waifu yupo super? Halafu huyu jamaa ni mlevi wa GAMBE sio wa MBUNYE. So, mm nakataa hakawezi kuwa kale kaugonjwa ketu bhana. Au labda alianza kunywa GONGO limemu-affect nini?😛😀Si pombe ni kale kaugonjwa
Namuoneaga huruma sana Happiness [emoji18][emoji18][emoji18]Kaugonjwa gani mkuu? Mbona waifu yupo super? Halafu huyu jamaa ni mlevi wa GAMBE sio wa MBUNYE. So, mm nakataa hakawezi kuwa kale kaugonjwa ketu bhana. Au labda alianza kunywa GONGO limemu-affect nini?😛😀
konyagi zinapunguza sukari, hanywi kwa kupenda bali ni dawaKuhusu ule ni kweli mana mimi niliambiwa na mtu wa karibu yake,yani kaoa dada wa lusekelo kua jamaa pierre hamfikii kwa kunywa pombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jina limenishtua
At which stage?
Kaka jehanum ni sehemu uko Israel huko sasa cjui unazungumzia kwa maana ipiIko hivyo.. Hawa watu ndio watakuwa kuni huko jehanum
Jr[emoji769]