Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
View attachment 1060239
1066372
 
Dooooooh upako kwishnee... mdomo wake ulijaa maneno ya kejeli kejeli anasema "hapa kwangu sina kimeo hata kimoja zote hizi gari kalii" mimi mtu wa perfume kaliii Mungu anisamehe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... utaskia "nitatongoza wake za watu wangapi...wivu tuuu.. waume zao wakiniona nilivyo wanajua wake zao hawawezi kunikataaa"... "umeona hizi nywele zangu.. sipaki dawa mimi hizi ni natural"
Mi ananifurahishaga kwa kweli anaongea sana haniboiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah

Nakumbuka enzi hizo nikiwa six nikaenda bhana nikazama na bible yangu nikatulia kwenye kiti

Sasa ikafika wakati wa sadaka kama unavyojua sadaka ni siri yako na Mungu .

Ikafika zamu yangu kutoa sadaka ile naweka kwenye mfuko kuna wazee was kanisa wahuni nadiriki Kuwaita wahuni tu maana kwa walichonifanyia sio sawa kabisa kiimani

Jamaa basi si wakafungua mkono kilazima ili waone naweka kiasi gani maskini ya Mungu sikuwa na kazi na hio hela nilijibana kwenye nauli yangu ,

Basi jamaa wakakuta coin mkononi wakanitimua nisepe nikasema fresh huyo nikasepa hapo hapo wala siku kas tena maana nilipandwa na hasira .

Ni mia kumi sasa

Ila kanisa wanapiga makofi hadi mikono inauma hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
POLE SANA MKUU
 
Back
Top Bottom