ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo. Kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana. Jamaa bila shaka ni mgonjwa, sielewi anasumbuliwa na nini!
View attachment 1060239
Mi ananifurahishaga kwa kweli anaongea sana haniboiiiDooooooh upako kwishnee... mdomo wake ulijaa maneno ya kejeli kejeli anasema "hapa kwangu sina kimeo hata kimoja zote hizi gari kalii" mimi mtu wa perfume kaliii Mungu anisamehe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... utaskia "nitatongoza wake za watu wangapi...wivu tuuu.. waume zao wakiniona nilivyo wanajua wake zao hawawezi kunikataaa"... "umeona hizi nywele zangu.. sipaki dawa mimi hizi ni natural"
POLE SANA MKUUHahahahah
Nakumbuka enzi hizo nikiwa six nikaenda bhana nikazama na bible yangu nikatulia kwenye kiti
Sasa ikafika wakati wa sadaka kama unavyojua sadaka ni siri yako na Mungu .
Ikafika zamu yangu kutoa sadaka ile naweka kwenye mfuko kuna wazee was kanisa wahuni nadiriki Kuwaita wahuni tu maana kwa walichonifanyia sio sawa kabisa kiimani
Jamaa basi si wakafungua mkono kilazima ili waone naweka kiasi gani maskini ya Mungu sikuwa na kazi na hio hela nilijibana kwenye nauli yangu ,
Basi jamaa wakakuta coin mkononi wakanitimua nisepe nikasema fresh huyo nikasepa hapo hapo wala siku kas tena maana nilipandwa na hasira .
Ni mia kumi sasa
Ila kanisa wanapiga makofi hadi mikono inauma hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo leo Mzee baba
Kivipi?Iko hivyo.. Hawa watu ndio watakuwa kuni huko jehanum
Jr[emoji769]
Aache kubadili story, hakuna aliyesema amekufa bali imesemwa ni mgonjwa
Mimi pia
Hahahaa Pombe ni Pombe tu ili mradi iwe na alcohol,sema madhara yanakuwa makubwa endapo % ya alcohol ikiwa kubwa,kwahiy concentration inapokuwa kubwa na effect yake inakuwa kubwa vile vile.
Konki Faya atabaki kuwa juu lusekelo.