Nami nasema Fiston wa Yanga hakabiki kirahisi

Mnampa heshima sana kuita majina yote, kwa kifupi anaitwa Babu FISI. Ngoja Warundi wapige Pensheni za GSM maisha yasonge.
 
ndio hakabiki mimi nimeelewa walikuwa na maana hata asipokabwa hawezi fanya kitu
 
Huyo hakabiki isipokuwa anahitaji muda kama pacha wake sarpong.... Sarpong mwenyewe hakabiki isipokuwa bado tunampa muda.......!!
MTU ambaye hawezi hata kukontro mpira unamkaba wa nini??? Matumizi mabaya ya wachezaji hayo!
 
Namimi naungana na wewe kuwa huyu Fiston hakabiki kwani hakuna anayeweza kukaba sanamu wakati Fiston ni sawa na sanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…