Nami nasema Fiston wa Yanga hakabiki kirahisi

Nami nasema Fiston wa Yanga hakabiki kirahisi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
download.jpeg


Hizi mechi mbili za African Sports na Mbeya City itoshe kusema huyu jamaa ni mashine. Kama waandishi uchwara wanasema hakabisi mimi ni nani nibishe
 
Mnampa heshima sana kuita majina yote, kwa kifupi anaitwa Babu FISI. Ngoja Warundi wapige Pensheni za GSM maisha yasonge.
 
ndio hakabiki mimi nimeelewa walikuwa na maana hata asipokabwa hawezi fanya kitu
 
Huyo hakabiki isipokuwa anahitaji muda kama pacha wake sarpong.... Sarpong mwenyewe hakabiki isipokuwa bado tunampa muda.......!!
MTU ambaye hawezi hata kukontro mpira unamkaba wa nini??? Matumizi mabaya ya wachezaji hayo!
 
Namimi naungana na wewe kuwa huyu Fiston hakabiki kwani hakuna anayeweza kukaba sanamu wakati Fiston ni sawa na sanamu
 
Back
Top Bottom