Namibia: Chama cha IPC kupeleka pendekezo Mahakama ya Uchaguzi kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge kutokana na kasoro zilizojitokeza

Namibia: Chama cha IPC kupeleka pendekezo Mahakama ya Uchaguzi kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge kutokana na kasoro zilizojitokeza

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Kulingana na malalamiko rasmi kwa ECN, chama cha IPC sasa iko katika mchakato wa kufika Mahakama ya Uchaguzi (sehemu ya Mahakama Kuu ya Namibia) ili ikiwezekana kutengua uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Namibia leo, kwa kuzingatia ukweli kwamba idadi kubwa ya watu hawakuweza kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kupiga kura kwa sababu ya uhaba mkubwa wa vifaa vya kupigia kura, pamoja na changamoto mbalimbali katika vifaa vingine kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura nchini humo.

Soma Pia: Mahakama ya Kikatiba ya Msumbiji, yakubali kura zirudiwe kuhesabiwa

==============


Based on a formal complaint to the ECN, the IPC is now in the process of approaching the Election Court (part of the Namibian High Court) in order to possibly set aside the Namibian presidential and parliamentary election today, based on the fact that a huge amount of people could not exercise their democratic right to vote on account of a substantial shortage of ballot material, combined with dysfunctional equipment at various voting stations throughout the country.
 
Yaleyale Vyama vya Uhuru na uchakachuaji wa Kura.

SWAPO FRELIMO CCM ZANU PF bila kuchakachua hawashindi
 
Back
Top Bottom