Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Wakuu nina hii blog ambayo naimiliki lakini hamna inachoniingizia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Blog inahusu nini?Wakuu nina hii blog ambayo naimiliki lakini hamna inachoniingizia
kwakweliDavidmmarista Thecoder toeni ushauri
kirahisi ivo😂😂Weka link watu waweke matangazo yao humo
Uanze kupiga pesa mkuu
ina miaka mitatu1. Blog inahusu nini?
2. ina muda gani?
3. unapost mara ngapi kwa muda gani?
4. unatumia tools gani?
5. unatumia mbinu gani za monetization?
Unaona hilo tangazo lipo hapa jfkirahisi ivo😂😂
kama unapost ads tu:ina miaka mitatu
inahusu matangazo ya kazi
situmii tools yyte
Napost ads
Bado haina ubunifu wowote. Sidhani kama unapata hata visitor 5000 kwa sikuina miaka mitatu
inahusu matangazo ya kazi
situmii tools yyte
Napost ads
Una miaka mingapi?Wakuu nina hii blog ambayo naimiliki lakini hamna inachoniingizia
Maelezo hayajitoshelezi tatizo kwahiyo tunashindwa kuelewa tutoe ushauri wa aina gani... Alitakiwa aseme Niko na blog hii then aambatanishe na link watu waone kisha wamshauri au kama hivyo sivyo basi aseme hiyo blog yake iko na muda gani tangu alipoianzisha na niche gani ambayo anadeal nayo, ili tuanzie hapo kupiga story.Davidmmarista Thecoder toeni ushauri
🤣Kwani naweza kuwa na blog, bila kuwa na computer, maana na simu pekee.
Umeeleza mambo mengi ya muhimu mkuu . Ila mtandao unaotembelewa na watu wengi kuliko yete ni Google.Maelezo hayajitoshelezi tatizo kwahiyo tunashindwa kuelewa tutoe ushauri wa aina gani... Alitakiwa aseme Niko na blog hii then aambatanishe na link watu waone kisha wamshauri au kama hivyo sivyo basi aseme hiyo blog yake iko na muda gani tangu alipoianzisha na niche gani ambayo anadeal nayo, ili tuanzie hapo kupiga story.
Blogging sio swala la siku moja au mwezi au miezi miwili na wengine wanaenda hata miezi sita hawajaona kitu ila wale ambao wanafanya full time na wanapush muda wote huwa angalau baada ya miezi mitatu au sita unaanza kuona matokeo.
Lakini pia inategemea sana na niche pamoja na namna unavyoandika hizo contents zako bila kusahau matumizi yako ya social media yamekaaje, kwa maana huwezi kuwa blogger halafu ukadharau matumizi ya social kwa maana watu wanaspend muda mwingi kwenye social media kuliko huko google so ukiwa na wafuasi kadhaa then ukawa unaanzia kule kisha kuwadirectisha kwenye link ya blog yako inakua rahisi kupata engagement za social na kadri traffic inavyokua ndivyo domain yako inavyozidi kupata authority na domain ikishapata authority inakua rahisi kurank pale kwenye search engine then hapa ndio huwa booooom.
Na hiyo boooom sio inayokupa pesa ila kinachokupa pesa monetization, na kuna njia nyingi za kumonetize blog na ukiwa serious hapa ndio pahala pa kuanza kupiga a very serious money thou hili nalo huwa linategemea na traffic inayopatikana katika ukanda husika.
NB: hii ni general advice coz mleta mada hajaishibisha mada yake or maybe ameweka hizo info kwenye comment ila sijaziona.