round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Ni kweli na watu wengi ambao ni potential huwa wanapatikana huko google ila shida ni kwamba ukiwa na blog mpya huwa ni ngumu kuonekana pale google kwahiyo ili watu wengi waweze kuiona kwa urahisi ni Bora udeal na social media, utengeneze cycle fulani hivi ambayo it's drive traffic kwenda kule.Umeeleza mambo mengi ya muhimu mkuu . Ila mtandao unaotembelewa na watu wengi kuliko yete ni Google.
Hapo kwene kujikita sehemu moja ndo nahisi nafelia hapoBlog ni kama ukurasa wa Instagram, Facebook,n.k.
Njia ya uhakika ya kufanikiwa uwe na watembeleaji wengi utaombwa utangazie watu bidhaa au huduma zao, Kwenye blogs unaweza kuomba utangazie watu biashara zao kwenye kampuni kama Google adsense, kwa watembeleaji elfu moja unaweza kuingiza dola 1 ( shilingi 2,600 ). blogs maarufu kama za ajira, muziki, n.k. wanapata watembeleaji mpaka laki kwa siku
Mbinu nyingine za kufaidika hasa kama una watembeleaji wachache jaribu kuuza bidhaa mfano andika vitabu vyako uza kwa pdf, unaweza kuuza bidhaa zako au za wengine, kutoa ushauri, n.k.
Cha muhimu zaidi lenga sehemu moja, jikite na sehemu moja usiwe mpana sana, mfano kama ni tiba jikite na tiba za vidonda vya tumbo tu, kama ni michezo jikite na timu moja tu, n.k. ukitoka nje ya hapo ni ngumu kwasababu ya ushindani mkubwa zaidi, mablogs makubwa ya kitambo
yaanMimi ninavyojua watu wengi wanaoanzisha blog kwa.lengo la kupata pesa wanaishiaga njiani 😂
asantePole
Watu wengi huingia kwenye blog kupitia matokeo ya google ya vitu wanavyosechi.Hapo kwene kujikita sehemu moja ndo nahisi nafelia hapo
HeheheWakuu nina hii blog ambayo naimiliki lakini hamna inachoniingizia
Blog ya nini hiyoWakuu nina hii blog ambayo naimiliki lakini hamna inachoniingizia
AfyaBlog ya nini hiyo
Unaweka vitu vipiAfya
kazi na elimu ya afyaUnaweka vitu vipi
Kwa siku watu wangapi wanatembelea blog yakokazi na elimu ya afya
HeheheYangu ni getravelguard.blogspot.com naombeni kama kuna anayeweza nisaidia kuipamba iweze Piga pesa, domain ime expire duh
Inawezekana ndugu. Ukafanya kupitia simu. Kama blogger ni nyepesi sanaKwani naweza kuwa na blog, bila kuwa na computer, maana na simu pekee.
niunganishe naeKuna mwenzio nimeona anapata laki nne sii haba