Namiliki vitu hivi. Je, kuna shida nikioa kwa sasa?

Namiliki vitu hivi. Je, kuna shida nikioa kwa sasa?

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
725
Reaction score
1,282
Wakuu getho limeshatimia kama linavyoonekana hapa.

Yani amekosekana mrembo tu kwa sasa.

Naomba baraka zenu wakuu nifanikishe jambo langu hili.
 

Attachments

  • Screenshot_20241221-162927_Chrome.jpg
    Screenshot_20241221-162927_Chrome.jpg
    76.9 KB · Views: 8
Wewe unamatatizo, kuna homeless kibao wameoa na wana watoto, na watoto nao ni homeless pia, wewe una tafuta gheto ndio uoe?

Angalia ombaomba mjini wanaishi mitaani, mme, mke na watoto, wewe unapoteza pesa badala kununua mama samia bond, unataka kumlipa mwenye nyumba atakayekupa stress.

Mtoto wa kiume siyo lazima ulale ndani, tafuta kibaraza cha wauza alkasus piga story mpaka big night, kisha lala hapo hapo, amka kaendeleze misheni zako town, au kaishi porini ukalime, huko utajenga nyumba ya miti utaoa na kuishi safi kabisa.
 
Back
Top Bottom