Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
unapambana na maisha (huna stable income ) halafu unataka kupambana na ndoa..bado napambana kiongozi sijakata tamaa
Kaka be careful
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapambana na maisha (huna stable income ) halafu unataka kupambana na ndoa..bado napambana kiongozi sijakata tamaa
kiongozi kwan si wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha auunapambana na maisha (huna stable income ) halafu unataka kupambana na ndoa..
Kaka be careful
Kama hamna shida kwa nini uliuliza?shida nini kiongozi au adi niwe na gari?
kaka niliwahi kuleta uzi hapa JF mwaka 2022 mwezi wa 7 kwamba nataka kuoa, nilikua very stable economically.kiongozi kwan si wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha au
Ndoa ni TAASISI kubwa sana ya kitapeli ,kikandamizi ,kinyanyasaji ila ukiwa nje ya taasisi hiyo huwezi jua.why not?
Hee🤯utapeli umeingiaje kiongozi?Ndoa ni TAASISI kubwa sana ya kitapeli
doh kiongozi autaki namm niwe naloweka kama nyie?Uzi ufutwe
Unae kwanza huyo ke au ndio nayeye unataka uanze kumsaka kwa kudra za mwenyezi?ivyo vingne vidogo vidogo vitapatikana tu uko mbeleni kwa kudra zake
😆kwann kiongozi mbn nyie mmeoaNikisikia kijana anataka kuoa ..natamani kummamata makofi.....
Hee ufutwe tena?Uzi ufutwe
Unachokutana nacho kila siku unajua.... Hata usipokiweka humu.... Hakuna Mwanaume anayefurahia ndoa ...tunaishi nao tu wale viumbe.😆kwann kiongozi mbn nyie mmeoa
Unatoa mahali ,unasimia kila kitu kwani wewe Haina wazazi haukusomeshwa!? Kwa Nini wasitoe mahali na wao!?? .... Shida ni za upande wao tu siku zote ikitokea upande wako mpaka mkubaliane nuoja litokee kwao halafu usisaidoe uone...Hee🤯utapeli umeingiaje kiongozi?
Akipata wale age imesogea kwenye 33yrz inataka kutoboa 40 hao mbona huyu tajiri!Kwa hilo gheto demu wa mjini hakukubali labda ukaowe wa kijijini
Ungekuwa na akili usingeanzisha uzi wa kitotokiongozi unamaanisha akili hii inakaa kichwani au? iyo ipo ndomaana naweza kuandika apa
Kijana yupo likizo shule zimefungwaMbona picha ya mtandaoni hii Kijana 😂😂😂
mkuu mbona zalau?Hiyo Bado ni stoo