Namiliki vitu hivi. Je, kuna shida nikioa kwa sasa?

Wewe unamatatizo, kuna homeless kibao wameoa na wana watoto, na watoto nao ni homeless pia, wewe una tafuta gheto ndio uoe?

Angalia ombaomba mjini wanaishi mitaani, mme, mke na watoto, wewe unapoteza pesa badala kununua mama samia bond, unataka kumlipa mwenye nyumba atakayekupa stress.

Mtoto wa kiume siyo lazima ulale ndani, tafuta kibaraza cha wauza alkasus piga story mpaka big night, kisha lala hapo hapo, amka kaendeleze misheni zako town, au kaishi porini ukalime, huko utajenga nyumba ya miti utaoa na kuishi safi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…