Wakuu kwema.
Nataka kushare kitu kinachoniumiza moyo lakini sina jinsi.
Nimeoa ni zaidi ya miaka 8 sasa, tuna watoto watatu na tunaishi vizuri tu ndani ya ndoa yetu.
Kitu kinanachonitatiza akili yangu ni kuchepuka; hii tabia ilianza miaka km sita hivi iliyopita baada ya mke wangu kujifungua.
Sikuwa na mpango wa kuchepuka but ilikuja tu baada ya kukaa muda mrefu bila kutikisa nyavu afu nikawa mbali na mke wangu kimasomo.
Nikiwa masomoni, nilikutana na kibinti kimoja kutoka pwani kikiwa na miaka 21, yule binti nilikutana naye nilikua nanunua nguo za mke wangu nikamwomba tu ajaribishie, alizijaribishia zile nguo na nilizinunua nikampelekea wife.
Nguo zile wife zilimfit vizuri tu, as pia mtumishi wa umma zilikua za heshima. Nimekaa muda mrefu nikawa naonana na yule binti kila tukionana anaulizia habari za wife na anaendeleaje, as mi siku na haja naye japo ilikua pisi kali iko kwenye peak but mi sikumjali sana sababu nilikia very faith kwa mke wangu.
Muda ukapita, as unajua haya mambo ya ndoa, tukaanza kuhitilafiana na mke wangu kwa vitu vidogo vidogo tu. Mke wangu akawa na visirani vya hapa na pale na kununa nuna bila sababu; vitu hivi vikawa vinaniuma na ukijali niko mbali kimasomo, ikawa inatafuna sana akili yangu.
Still nikawa namheshimu mke wangu na kiukweli she is faithful hadi leo [sijawahi kumfuatilia wala siwazi kufanya hivyo ila matendo na tabia yake zinaonesha]
Siku moja nikiwa nimesafiri nilikutana tena na huyu binti aliyenisaidia kujaribishia nguo za wife.
Kusema ukweli from no where yule binti alinitunuku tunda, kizembe sana na hapo nikawa nimevunja kiapo kwa mara ya kwanza, iliniuma sana, nifadhaika sana lakini nilipewa show ya uhakika (binti wa pwani alikua anajua mambo)
Baada ya hapo tu, kuna dada mmoja alikua anasoma shahada ya uzamili chuo kimoja kiko ule mji ambao hauna bahari, naye ikatokea from no where tukalala pamoja, nikavunja tena kiapo mara ya pili.
Anyways yule dada wa uzamili, kidogo aingie mazima japo alijua nimeoa! Niliumia sana japo alimind ila akawa mwelewa tukabaki kuwa marafiki tu (Kashaolewa sasa hivi na ni mtumishi wa wizara ya iliyokua inaongizwa "odo". tuko marafiki hadi leo)
Upande mwingine kale ka Gen Z, kalikua ukikutana nako tu ni shoo shoo, kalikua na boyfriend kaka mpiga chini, kakawa na mimi as kakitaka shoo kananifuata, kisingio kuwa hakataki stress na mahusiano na vijana wa rika yake.
Huku nyumbani tena waifu kisiriani kikawa kimeisha, vurugu hamna na akawa normal; nami nikaacha kuchepuka.
Nimekaa kama miaka mitatu hivi; wife akabeba ujauzito, aise for first time nilijuta kuoa. Wife akawa na kisirani kupita maelezo, kiburi, jeuri na hasira nyingi, kununa kwingi na furaha ya nyumbani ana decide yeye.
Namimi ikitokea hivi namtafuta yule Gen Z naenda napiga shoo ya uhakika then narudi nyumbani...namkuta na minuno yake ila mimi nakaa zangu kimyaaa....!
Badaye nikahama mkoa nikaenda mikoa ya kaskazini kule; nimekaa kule bila kuchepuka wala nini.
Wife akawa amejifungua tena vizuri tu; maisha yakaendelea japo yeye nilimwacha mkoa mwingine.
Baada ya muda tukiwa mbali, wife akaanza tena ugomvi wa kununiana; sasa kati ya vitu ambavyo siwezi kuvumilia ni kununiwa; maana huwa na term kama dharau, but mi sio mgomvi ila mtu akininunia lazima nimwambie, but niliongea kwa wife hadi nikachoka.
Kuna wakati anasumbua unaambiwa watoto wanaumwa au unatuhumiwa umetelekeza familia nk but kiukweli si kweli ila ukienda mnapiga shoo ya maana afu mnuno umeisha; but few days ananuna tena.
Sasa katika kutafuta kuepuka ununaji wake, nikiwa katika harakati za maisha nikakutana na binti mmoja hivi, wakati wa korona, yule binti alikua na ugomvi na boyfriend wake.
Katika maongezi ya hapa na pale (again huyu naye pia tulikutana kwenye duka la nguo; nilikua nanunua zawadi za watoto wangu). Alinisaidia kuchagua vizawadi vya watoto badaye nikaachana naye.
Kufupisha story niliendelea na maisha yangu na fujo za hapa na pale za wife ( normal fujo si serious sana) but mimi zilikua zinanikera sana hasa kununa (Zilikua zinanifanya hata kazini ufanisi wa kazi unashuka, yaani nilikua naanza kupata msongo wa mawazo, ilikua inaniuma ndani kwa ndani, ila kwa nje watu walikua wananiona niko normal tu, mtu wa furaha nk but deep down nikua napitia wakati mgumu sana wa mawasiliano duni na wife)
Nilikaa kama mwaka hivi, siku moja niko safarini nikakutana na yule binti, ni binti mzuri tu mrefu mweupe, umbo la kina hamisa!
Aliuliza kuhusu watoto wangu nikamjibu wako salama, nikamwuliza kuhusu mpenzi wake akasema ashaachana naye toka wakati ule, nilimpa pole nikamwambia utapata mwingine, akajibu " I wish, but sitaki tena mahusiano sasa hivi" ni mwaka umepita ila sina hata hamu ya kuwa na mwanaume!
Kiukweli siku hiyo tulibadilishana namba tukaachana, jioni akanintext kunitakiwa usiku mwema, nami nikajibu vizuri tu, akuliza nimefikia hoteli gani, nikamjibu. [Kimwonekano mimi ni mrefu kidogo😀😀, "Slim fit", maji ya kunde; mkimya kwa nje ila mpiga stori mzuri tu nikikutana na wana, nachomekq mwanzo mwisho, kiatu kikali, shati na suruali! Sivai saa, macheni nk yaani nikiavaa ni boxer, suruali, shati, viatu basi siongezi urembo wowote😀😀, so huwa naonekana mtu wa staha hivi)
Kesho yake akaja kuniona pale, tulipiga stori nyiingi tu badaye akasepa, ni binti mzuri sana ila sikuwa na wazo naye, a nilikua kwenye 33yrs but yeye alikua kwenye 24yrs.
Sasa ikawa anakuja anasepa siku ya mwisho akaja kuniaga kwamba usiku wake nasafiri. Alikuja mida ya saa tano asb, akanisaia kufanya vikazi vya computer pale nk.
Tukala lunch vizuri tu, ni binti mzuri sana but huwa sina tamaa ya kutongoza wadada hovyo hovyo na nilikua nimeweka mipaka lakini huyu binti tulijikuta tumewekeana mazingira ya kukulana[kiukweli sikuwa na kipingamizi, rough rider ikabidi zitafutwe😀😀] Nilipiga shoo yule binti kutoka mchana hadi jioni...sijawahi kula mwanamke wenye hisia km yule! Nilipiga kiasi kwamba alishindwa kuamka!
Alikua hajui sana romance ila mimi nilikua najua; nili survey mwili wake nikajua weak point zake zote, nikacheza nazo, kuna wakati nikiwa napiga nilikua namwi-enjoy the way anavyoteseka nanhisia halafu namchezea haswaa
Foreplay zilikua zinachukua hadi dk 20! vitu vyote alikua anamaliza kabla hata nyoka haijaingia! Ukipiga foreplay, ukija kupeleka show dk 6-8 mtu ashatetemeka kama generator bovu mara kibao! Mwanamke "akikojoa" as a man, you feel it unaona involuntary muscles constriction and relaxation! (Yaani hadi raha😀😀)
Baada ya ile show, usiku nikasafiri, nilimwacha pale lakini baada ya hapo akawa anasafiri zaidi ya 300km kunifuata.
Alijua nimeoa,alijuia nina watoto,alijua nina ndoa! but yote haya alisema "nimlee katika mapenzi" hataki tena mapenzi ya kukimbizana na age mate wake!
Back home, wife naye huku alianza kuwa mpole maana vitu vingi vya kike nilikua napuuza (mfano kununia, zamani ilikua inaniuma ila badaye nikazoea nikawa siumii tena).
Mimi na wife bond ikawa kubwa, I am a father figure, smart and respectable; nahudumia familia yangu for 100%, niko karibu na wanangu kwa 100% niko karibu na mke wangu kwa 100%. Wife ni mtu wa hisia pia, najua mwili wake wote, huwa namtawala sana wakati wa tendo la ndoa na kumlisha chakula cha kuridhisha, ndio maana hata mwanzoni akiwa ananuna nuna nilikua nampekea show sana😀😀
Back to mpango wa kando; sijawahi hata siku moja kuruhusu huyu side chick kujua familia yangu hata mara moja.
Huu ni mwaka wa pili, binti kanogewa sana ila pia sijawahi gombana na wife kwa mwaka wa pili sasa.
Inaniuma the way nimevunja kiapo lakini imenisaidia kuwa na "Man mental health" yaani sitatizwi kabisa na changamoto za ndoa!
Mke wangu namkosea lakini ndio inafanya ndoa yetu iwe na amani, la sivyo mambo yangekua mengine, marafiki zangu almost wote wanapiga urabu sana sababu ya ndoa zao! (BTW mimi sinywi pombe, sivuti sigara wala kunywa chochote, ni mtu wa nyumbani-kazini au out na familia)
NB: Kwa miaka yote hiyo nimeanza kuuza mechi kwa huyu binti but baada ya vipimo vitatu kwa miezi mitatu mitatu ndani ya miezi tisa but rough rider huwa inahusika kwenye siku za hatari pia.