Namkosea, lakini ndio inafanya ndoa yetu iwe na amani

Ndugu,hebu naomba nisaidie namba pm ya huyo wa Kaskazini niendelee kumlea ulipoishia, akinivutia naweza kumuoa kabisa, Wanaume kusaidiana ndugu,msaada tafadhali
 
Wee mzeya nitakutafuta unifundishe jinsi ya kutomber vizuri. Bei gani kwa session moja demu nitakuja nae mimi
 
Sasa si unampa red card tu hujaoa ndo maana ila siku ukiingia utaelewa kiumbe kinachoitwa mwanamke viziri
 
Hawa wenzetu hata wakiwa kwenye kipindi Cha siku zao wanakua na visirani achilia mbali mimba. Nikuwaelewa tu, shida ukipuuzis napo unaonekana unaleta dharau.
Ukimchekea tu umeisha mzee wanafanyaga kusudi hasa akishajua kwamba unampenda

1: ulishaonaga house girl mimba yake ikisumbua?

2:ulishaonaga mwanamke aliyetelekezwa na mimba ikamsumbua?

Sasa oa au jifanye sharukh khan alafu mpe mimba uone vituko vyake kama hutatumwa mirinda saa 10 ya usiku
 
Usikute na yeye machale yalimcheza mda anapigwa pipe uko nje awa viumbe awa give up kirahisi hivyo
Akikununia we una don't care atasanda tu uyu ana mpango WA kando
Usimpuuzie ata cku moja awakubali kushindwi ukitaka kumuweza muektie kama anakutesa vile
 

Uko sahihi, lakini inategemea unataka nini kwenye ndoa na unataka muipeleke namna gani.

Tuliaswa kuishi nao Kwa akili. Kama nnachohitaji ni furaha na amani, sitazingatia u babe Kwa vitu visivyo na msingi kisa ntaonekana mnyonge. Unaweza kuharibu ndoa na furaha ya familia yako Kwa mambo madogo sana.

Hivyo basi, inategemea unataka kuendesha ndoa Yako Kwa namna Gani.
 
Ilibidi ufanye hivyo for the sake of your mental health otherwise mambo yangekuwa mabaya zaidi. Stress zingepunguza ufanisi na mwishowe ufukuzwe kazi na familia ikitelekeze. What a horrible way to die!
Sema watu watakuja hapa being judgemental and all that.
 
Maneno ya kingeleza yaliyotumika sana katika hadithi hii ni

as imetukika mara 6
but imetumika mara 13
 
kaka sikulaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…