Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake



Zipo mfano ni jirani Kenya na Africa Kusini etc
 
Sasa tatizo la ukosefu wa huduma ya maji na Umeme sijui ni upinzani hawajawajibika sawasawa?

Sijui dhamiri zao zinawatumaje?
 
katiba mpya haitokuwa na maana yeyote ile km mentality za watz ni zilezile, km huheshimu katiba hii nn kitafanya uheshimu ile? ht kwa wenzetu wanafanikiwa si kwasababu wana katiba nzuri sana ila ule utayari wa kuheshimu katiba zao
Katiba haiheshimiki kwa sababu maccm mmewapa viongozi wakuu wa kiserikali Kinga ya kutokushitakiwa kwa makosa yoyote yale 😡😡😡

Ndio maana tunataka katiba mpya kuwaondolea hizo Kinga. Ninakuakikishia baada ya hapo hutaona mafisadi wakitaka kugombea nafasi ya urais tena
 
Mleta mada umewakilisha wengi sana kwenye hilo!

Wengi wanasikitishwa na jambo hilo kuliko maelezo!

Yani !
 
Hakika kabisaaaaa Umenena vema kabisa. Kumbe unaona eee?
 
Soma Waebrania 13:17

Watiini viongozi wenu na kushika amri zao; wao huchunga roho zenu usiku na mchana, na watatoa ripoti ya utumishi wao mbele ya Mungu. Kama mkiwatii watafanya kazi zao kwa furaha, la sivyo, watazifanya kwa huzuni, na hiyo haitakuwa na faida kwenu.
 
Kumbuka kuwa Mama alipoingia tu madarakani aliwapa Uhuru wafanye mambo yao kilichotokea uliona

Mdude akasema atamnyoa mama kama alivyomnyoa Magu

Mbowe akawa anaandaa makongamano na maandamano nchi nzima yasio na kikomo hadi katiba mpya ipatikane

Waache wale jeuri yao
 
Nonsense
 
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] nakazia hapahapa.
 
Kumbuka samia hana mamlaka ya kushitaki au kufuta shtaka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Umenena vema kabisa. Mama anadanganywa tu na wanaCCM kwa sababu kwa taarifa tunazozipata toka mahakamani na mashahidi ni kwamba kesi hii iliandaliwa enzi za Jiwe wakishirikiana na Sabaya na mapolisi wa Sirro na Kingai. Lakini Mama akumbuke kuwa waliompokea kwa shangwe na kuuaminisha umma kwamba Mama anaweza ni Chadema. Chadema wamekuwa mstari wa mbele pia kumuunga mkono mama kwenye mapambano dhidi ya CORONA ikiwemo uvaaji wa barakoa na chanjo. Ukweli CCM haikumpokea kabisa wala kumkubali Mama kwenye hiyo nafasi yake. Akumbuke hilo na aache kumtesa Mbowe. Hata mimi mama namkubali sana ila nikikumbuka kwamba Mbowe yupo mahabusu akiteseka nakosa raha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…