Namkubali sana Joe Kusaga na ni role model wangu lakini kufanya naye biashara ni 'risk'

kama hauelewi namna gani music ni biashara kubwa basi endelea kukaa hapo unachekelea vijana wenzako wakikwamishwa uenda itakusaidia kupiga step ya kimaisha.
Nani ananunua music zaidi ya kutegemea show
 
Kutumia media zako vibaya hyo inapunguza credibility yako,ndicho kinachowatokea clouds, huenda bashite hakua sahihi lakini mambo ya clouds yanafuta baadhi ya mambo waliyofanyiwa na watu kutoka na na unyanyasaji wao
Nilitaka nikuunge mkono lakini kitendo cha kumwingiza Bashite nimekudharau
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uyu Diamond ana washabiki aiseeee unaweza kukuta mtoa mada ni dume zima ila kwa uchungu wa Diamond anamwaga chozi na povu la kutosha heeee heee huwezi amini hizo biashara wanazozipigia kelele haziwasaidii ila uyu Kusaga na Diamond ndio wananeemeka duh Mungu ninusuru.
 
Hapo ni swala la shule na mtu mwenye maono ya kuona mbali,
kwa mfano Diamond wakati anaingia huu mkataba kupitia kwa
wakili wake walipaswa kuweka "confidentiality clause" kwa lengo
la kulinda maslahi ya pande zote hasa Diamond.
Ni kwamba hata wakifarakana mikataba inabaki kuwa siri mpaka
itakapofika tamati ama kwa kipindi zaidi ya hapo.
Next time Diamond akiwa anafanya mikataba na watu wahuni
ama yyte yule ama kampuni yyte ile ajitahidi kuwa na wakili
mzoefu aliyebobea kwenye mikataba ya kibiashara.
 
Sallam ndo anamharibia Dai, hana kifua. Pia nahisi hata Wasafi TV/Radio sio ya Dai
 
Hapa tunaongea vitu oversize kwako ni vema ukatafute mijadala ya team.

Wcb ni brand kubwa kibiashara ikuumize au ikupendeze, ndio maana watu wote wanaitolea macho ikiwemo wewe.
Unaongea kwa mihemko ndo maana stori yako haijabalance.. Mbona huongelei kosa alilofanya Sallam kutishia Media kubwa kama ile?
 
Yule yule aliekupandisha ndio atakaekushusha sisi tunazid sababisha haya yote kwetu sis maisha (lord easy)
 
Hata mimi silisapoti kwa ajili ya diamond Ila Kuanzia sasa naona masoko yataporomoka... [emoji13]
 
niwe muwazi tu mimi sio shabiki wa diamond kabisaaa...ijapokuwa navutiwa na utafutaji wake na jinsi anavyopamabana na maisha ..kutokuwa shabiki wake haimaanish kuwa hajui kuimba hapana

huyu Jamaa mimi siwezi kuwa shabiki wake kwaajili ya life style yake nimtu wakupnda masifa mnooo ..ngono nisehemu ya vipaumbele vyake basii awe anafnya hata kwastaha wapiii yaani kila mtu mpaka ajue tabia zake chafu ..yeye na kundi lake lote..Malaya Malaya tu ..masifa yaliyovuka mipaka..sometimes vitu sio vyao Mara wnasema vyao..Mara cjui Nina fnya myimbo na rihana cjui French Montana kumbe sound ..yaani hilo tu ndio linalonikera ..na nyinyi mashabiki wa diamond mkae mkijua kuwa clouds wanamchngo mkubwa mnoo uliochangia kumfikisha huyo Jamaa yenu hapo alipo so hawapaswi kubezwa hata chembe ...
tatizo lililopo ni ukosefu wa nidhmu kwa hao wcb naona CFA zimewazidi kimo na sasa wanatka kumpnda kichwani kila mtu .
yaani kinyago walichokichonga kina luge leo kinataka kuwatisha wao wenyew ..
ngoja tuone aisee
 
Tena clouds walivyo washenzi, huwa wanaita wezao watumiao mbinu chafu "mdudu kaa" wao umdudu kaa wao hawauoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…