Nani ananunua music zaidi ya kutegemea showkama hauelewi namna gani music ni biashara kubwa basi endelea kukaa hapo unachekelea vijana wenzako wakikwamishwa uenda itakusaidia kupiga step ya kimaisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani ananunua music zaidi ya kutegemea showkama hauelewi namna gani music ni biashara kubwa basi endelea kukaa hapo unachekelea vijana wenzako wakikwamishwa uenda itakusaidia kupiga step ya kimaisha.
Ukipata nafasi jifunze ukisikia muziki unalipa inamaana gani hiyo sentesi.Nani ananunua music zaidi ya kutegemea show
Unalipa wapi Mwanamuziki mpaka atufurahishe tumpe hela ni sawa na changudoa tuUkipata nafasi jifunze ukisikia muziki unalipa inamaana gani hiyo sentesi.
Unalipa wapi Mwanamuziki mpaka atufurahishe tumpe hela ni sawa na changudoa tu
Ingekuwa wanagombana na ruge wasingefikia kutopigwa nyimbo zao clouds bila baraka za kusaga. ruge ni kamanda wa vita kama ilivyo sallam sk...ila ukweli ni ugomvi na clouds.Kama ni hivyo basi hao WCB ni vichwamaji
wanagombana na Ruge badala ya Kusaga...
Nilitaka nikuunge mkono lakini kitendo cha kumwingiza Bashite nimekudharau
Hapo ni swala la shule na mtu mwenye maono ya kuona mbali,Joseph Kusaga mmliki wa Clouds media ndio mtu anayeni inspaya kwa biashara zake haswa upande wa media.
Ni ndoto yangu kufikia mafanikio kama yake.
Ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi.
Lakini niwe mkweli ameniangusha sana kwa kitendo cha kampuni yake kuingiza migogoro yao ya kibiashara na Diamond Platnumz kwenye biashara.
Kufanya biashara na mtu ambaye mkitofautiana au kupishana kauli basi anatumia media zake kukuadhibu na mbaya zaidi anaenda kuvujisha mikataba yenu ya kibiashara kwenye media zake ni risk kubwa.
Brother Jo hakika umeteleza jisahihishe, mambo ya kutofautiana kati ya washirika wa kibiashara ni ya kawaida ila yasiende mpaka kuharibu biashara zenyewe.
Okay kwa mfano mmeshaujulisha umma kwamba Diamond karanga ni za Clouds kupitia kusaga ila diamond ni mjinga tu kufungamanisha brand yake na hizo karanga....mnafikiri mnamkomesha diamond? tunaambiwa na watangazaji wako ata chibu perfume ni ya kusaga so diamond ni mpumbavu kuweka brand yake ya chibu kwenye hizo perfume.
Sawa sisi tulitoa sapoti kwenye hizo bidhaa sababu ya kumpa nguvu diamond kijana mwenzetu toka uswazi ila matokeo yake mnatumia hayo makubaliano kumuadhibu msanii wetu tunaemkubali msanii wa mfano tokea tupate uhuru.
Kusaga umetuangusha sana tunaokukubali haya mambo unayapeleka very unprofessional.
Hizi biashara za namna hii wamefanya kina jordan na nike , g unit wamefanya na adidas, christan ronaldo na CR7nk nk nk lakini ata wakitofautiana wanamaliza mambo yao kistaarabu kama watu wanaoheshimu biashara na makubaliano ya mikataba...
Leo hii jordan hayupo tena na nike na anafanya vizuri...siku diamond akikaa kando na hizo karanga au akafanya kwa namna nyingine mnafikiri haitawaumiza kibiashara?
Yangu ni hayo tu!
Unaongea kwa mihemko ndo maana stori yako haijabalance.. Mbona huongelei kosa alilofanya Sallam kutishia Media kubwa kama ile?Hapa tunaongea vitu oversize kwako ni vema ukatafute mijadala ya team.
Wcb ni brand kubwa kibiashara ikuumize au ikupendeze, ndio maana watu wote wanaitolea macho ikiwemo wewe.
Acheni dharau banaSallam ndo anamharibia Dai, hana kifua. Pia nahisi hata Wasafi TV/Radio sio ya Dai
hahaaWatoto wadogo kama wewe?
hahaaaaKuna watu wasenge kweli yaani unakula diamond karanga kisa ulijua za diamond,kwa hiyo ghafla zimekuwa chungu baada ya kugundua sio zake
radio za na tv station ni za bashite ..Acheni dharau bana
Mnataka kusema jamaa ana kende tupu!!?
Tena clouds walivyo washenzi, huwa wanaita wezao watumiao mbinu chafu "mdudu kaa" wao umdudu kaa wao hawauoniJoseph Kusaga mmliki wa Clouds media ndio mtu anayeni inspaya kwa biashara zake haswa upande wa media.