Namkubali sana Joe Kusaga na ni role model wangu lakini kufanya naye biashara ni 'risk'

huyo kusaga hana uzoefu wowote ule nani anamjua hata kwenye wafanyabiashara wakubwa hayupo Mange anawadanganya sana
 
Tena umejibu vizuri kabisa hizo karanga zilikuwepo kitambo kwa hilo jina lakini hazikuwa maarufu wla nini. Na zilikuwa na ladha ile ile kama zilivyo sasa.
waliamua ku rebrand hizo karanga kwa kuzifanya kama vile mmiliki ni diamond na wakabadirisha mpaka package yake, unaona impact yake ni kwamba watu walifurahii mfano die hard fans wa diamond walikuwa wakinunua kumsupport msanii wao huku wakishangilia kwamba msanii wao ana bidhaa wakati hasimu wake hana.
Sijasema kuwa bidhaa itakufa ila kuna watu wataacha kununua kwakuwa ukienda dukani kuna aina nyingine ya karanga ila mtu alikuwa ananunua Diamond karanga kwakuwa anaamua ngoja amsupport diamond, so impact yake katika biashara inaweza kushusha mauzo.
na inaelekea mwanzo walitaka kabisa ijulikane kuwa ni bidhaa ya diamond ndiyo maana hata akawa anaandika kuwa anatafuta karanga sijui fursa kwa wakulima wananunua karanga all that ilikuwa ni kuwafanya watu waamini kuwa ndiye mmiliki.
wasanii wanaofanya matangazo ni wengi tena wengine kwa bei rahisi kabisa, lakini impact anayoleta diamond siyo sawa na Bilnas wala Nandy anapokuwa barozi. Mfano umesikia Nandy na Aslay ni mabarozi wa ile kampuni ya Kubet, unaonaje impact yake haijakiki kama ambavyo labda angepewa hiyo kazi Diamond au alikiba.
Ninachosema hapa ni kwamba, kataa ukubari kuna watu wengi tena wengi sana hizo karanga wanakula kwasababu ya diamond.
Narudia tena, kwenye biashara kuuza kitu siyo kwasababu ni bora kuliko bidhaa nyingine, ila bali ni taswira uliyowajengea watumiaji vichwani mwao na ndiyo maana makampuni yanatumia ela nyingi kuwatumia watu mashuhuri kama wanamichezo na wasanii kwenye matangazo kwakuwa mtu akifikiria karanga anamuwaza diamond anawaza diamond karanga.
Note una rebrand kitu uwa mara nyingi hubadirishi ladha, bali lengo nikubadirisha muonekano wake na perception ya watu kuhusu hiyo bidhaa. Diamond karanga ilikuwepo ikashindwa penya soko, walipoirudisha ikaja kama bidhaa ya diamond na ikatoboa.
 
diamond pale ameingia mkataba wa matangazo ameshapewa pesa yake anakula maisha....hizo karanga ziingize faida au hasara yeye haimuhusu acha chuki na wivu kwa watu waliokuzidi maendeleo
 
uko sahihi mkuu...hizo karanga mimi nimeanza kuzijua baada ya diamond kuzitangaza
 
huyo kusaga hana uzoefu wowote ule nani anamjua hata kwenye wafanyabiashara wakubwa hayupo Mange anawadanganya sana
aiseee mkuu wewe unauzoefu upi kumshinda kusaga ..CMG IMEANZA 1999mpka sasa ina miliki vituo vitatu vya radio vinavyofnya vizuri ..wanarusha matangazo Dubai na Rwanda ..bado serikali yenu pia inawategemea hawa ktk kuzibust kampeni zao ..haya sasa unasemaje !!?
 
diamond pale ameingia mkataba wa matangazo ameshapewa pesa yake anakula maisha....hizo karanga ziingize faida au hasara yeye haimuhusu acha chuki na wivu kwa watu waliokuzidi maendeleo
hahaaa my foot
kama mnalijua hilo basii acheni kulia lia basiii mnalazimisha kufnyiwa promo ktk vituo vya habari vya watu ..daahh yaani tena Mme mind kabisaaa mnatka kuwapngia wenye vyombo vyao uratibu wakazi ..jinga kabisa
 
Kusaga umefeli hivi Diamond hawezi kumshitaki Kusaga kwa ku expose mikataba yake ya kibiashara
Mkataba upi umeona Kusaga kauexpose mkuu, as long as hatujauona terms and condition inabaki kuwa wao ndo wanajua, ukute labda mkataba ndo unafika ukingoni na ukute kuna term moja inasema mkataba ukiwa unafika ukingoni itabidi ifahamika ni nani mmiliki, all in all Kusaga hajaexpose mkataba wowote...... funzo mara nyingine watu wanapoingia mikataba ya ki biashara wakumbuke ku insert kipengere cha confidentiality kama tunavyofanyiwa sie kwenye mikataba yetu ya madini, tunapiga kelele tu ila hata hatujui mikataba inasemaje
 
haya boss ..kama wafuatilia comment zangu sijatoka nje sana na Mawazo yko
 
Nani kakwambia Michael Jordan hayuko na Nike?
 
Kwa hiyo nyie shida yenu ni mikataba kuwekwa wazi?
Mbona mikataba yote ya mastaa wa ulaya na marekani iko wazi tu hadi sisi wa shithole countries tunaipata mitandaoni!
 
Diamond nae hakutumia akili kwani angesema kuwa yeye ni balozi wa diamond karanga angepungukiwa nini? Kutaka masifa ya kijingajinga madhara yake ndo hayo!
 
Ukimsikia Diamond kwenye ile remix ya My chick bad aliyoshirikishwa na Ludacris utakubali huyu demu ni rapa mkali ila sijui kwa nini hatoboi kwenye main stream music mpaka leo..
Brittany Nicole Carpentero a.k.a Diamond alikua demu wa soulja boy huyu!!..Demu anajua spitt words sema nyota imekuja Madalee!!.. 😀
 
Kwanini una chuki kubwa kiasi hiki na diamond ?? Mpaka unamwita kikaragosi ?
Dah,kwa kweli tutasubiri Sana Sana kupiga hatua.watz tutaendelea kuwa masikini wa Mali na akili wa kutupwa ktk dunia hii
Siwezi kumpenda hata siku mmoja mtu ambaye anatumia pesa ambazo mnampa nyi mashabiki alafu mwisho wa siku dharau kibao na maneno ya shombo...never never
 
Wewe sio mfanya biashara ndo maana unaona hapo kuna conflict...alichofanya kusaga ni "divide and rule" maana Clouds ingemzidi uwezo hasa baada ya kilio cha muda mrefu cha Ruge kutaka sehmu ya ownership...hivyo ameitengenezea competition Clouds kwa kuanzisha Wasafi TV/Radio ili sasa Clouds iendelee na kazi, iendelee kupambana badala ya kuanza kuhoji keki (Ruge)...so Kusaga is right and cllever and he's a true business man.

Ni sawa na ukae na mwanamke bila kumuoa...kisha baad aya miaka sita sheria inakulazimisha kwamba umuoe au huoy tayari ni mkeo wakati ww huna mpango, sasa utachofanya ni kuleta mchepuko ili bi mkubwa abaki anapambana na mchepuko, asahau ndoa na kujihalalisha.

Clouds is not going down kama alivyotabiri Mange, Clouds itaendelea na itakuwa busy na Wasafi, meaning ushindani utakuwa mkubwa na kuna uwezekano wa kuwasahau kina E fm & company.

Ni sawa na walichokifanya CCM, wakaforge upinzani (demokrasia ya vyama vingi) ili hali bado tupo kwenye chama kimoja...faida yake ni sisi kuendelea kula hela za mzungu kwa jina demokrasia, pia kuruhusu wapinzani halisi wapate pa kusemea wapunguzu mihasira...maana ukiminywa haki, then ufungwe na mdomo...hapo ndo kama unasikiaga VITA NI VITA MURAA..hata mtoto anajilipua na bomu...lakini ukipewa pa kupumilia...utaendelea kujamba na kulalamika lakini na ww unakula, siku zinapita.

heko to Kusaga...I love you maaan
 
Looser hapa siyo wasafi fm&TV,atae umia hapa ni nyasi,nyasi ni EA radio,Magic FM,Times FM,EFM,CHOICE FM na wengne,ni kama muziki ulivyo tu,VITA ya DIAMOND NA ALIKIBA Anaeumia hapa ni wasanii wengine kina barnaba,kina dimpoz,blue,jux,ben pol,kwasababu hawachukuliwa maanan tena..daah!!!ngoja nisogeze kitu na popcorn nisubiri game..
 

looo hongera sana mtoa mada hawa watu sijui hawana kazi unakaa kupoteza muda kushabikia diamond diamond njooni niwape kazi ya kufua nina nguo nyingi chafu nataka kufuliwa acha mambo ya diamond
 
mbona umemusahau Mwarahu fight
 
u know anyshit
 
Hahaha
Team Kiba meno yote 32 yapo nje wanakenua tu. Hawakauki mtandaoni hivi sasa. Maana walikua hawapumui kwa showoff za team D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…