nakubaliana nawe kuwa ukibrand biashara flani kwajina lamtu maarufu kama kikifnyiwa promo vyema "
huwa kinapata nafasi kubwa mnooo katika Jamii ..lakini yakupasa ujue kuwa hilo jina LA diamond karanga lilipachikwa ktk hzo karanga muda mrefu mnoo na hizo karanga hzikupewa hilo jina kwaajili ya diamond na sibu nop...walitumia jina LA karanga as brand ya rasilimali kama vile mtu yeyote awezvyo kutumia jina la kilimanjaro..
ila awali ilikuwa hazikuwa zikitoka kihivyo nazilikuwa zauzwa 200 ila baada ya smart industry kumpa ubalozi diamond wa hizo karanga basi zikawa zinafanya vizur zaid ktk soko ...maana walizifnyia matangazo mengi pia kitu ambacho awali walikuwa hawakifnyi ...
but Nina swali kwako kwani msanii anayefnya matangazo ya biashara tz yupo diamond tu peke yake ...maana naona kama mmekariri Hivi kiasi kwamba mmefikia hatua yakusema kuwa biashara itakufa ..na je !!? hakuna biashara zinazo endelea nchini pasipo kuwa namabalozi wasanii wanaozitangaza ..!? kama zipo !!? kwanini mnasema kuwa hizo karanga hazitonunulika ..!? Hivi mnaijua nguvu ya mtu Mwenye Pesa ??
halafu mbona mnajisahaulisha kuwa kusaga nimtu ambaye nimzoefu mnooo katika biashara so uwezo wakuendelea kufnya biashara hiyo kwao nimkubwa ..ijpokuwa wanaweza kuyumba kidogo
Tena umejibu vizuri kabisa hizo karanga zilikuwepo kitambo kwa hilo jina lakini hazikuwa maarufu wla nini. Na zilikuwa na ladha ile ile kama zilivyo sasa.
waliamua ku rebrand hizo karanga kwa kuzifanya kama vile mmiliki ni diamond na wakabadirisha mpaka package yake, unaona impact yake ni kwamba watu walifurahii mfano die hard fans wa diamond walikuwa wakinunua kumsupport msanii wao huku wakishangilia kwamba msanii wao ana bidhaa wakati hasimu wake hana.
Sijasema kuwa bidhaa itakufa ila kuna watu wataacha kununua kwakuwa ukienda dukani kuna aina nyingine ya karanga ila mtu alikuwa ananunua Diamond karanga kwakuwa anaamua ngoja amsupport diamond, so impact yake katika biashara inaweza kushusha mauzo.
na inaelekea mwanzo walitaka kabisa ijulikane kuwa ni bidhaa ya diamond ndiyo maana hata akawa anaandika kuwa anatafuta karanga sijui fursa kwa wakulima wananunua karanga all that ilikuwa ni kuwafanya watu waamini kuwa ndiye mmiliki.
wasanii wanaofanya matangazo ni wengi tena wengine kwa bei rahisi kabisa, lakini impact anayoleta diamond siyo sawa na Bilnas wala Nandy anapokuwa barozi. Mfano umesikia Nandy na Aslay ni mabarozi wa ile kampuni ya Kubet, unaonaje impact yake haijakiki kama ambavyo labda angepewa hiyo kazi Diamond au alikiba.
Ninachosema hapa ni kwamba, kataa ukubari kuna watu wengi tena wengi sana hizo karanga wanakula kwasababu ya diamond.
Narudia tena, kwenye biashara kuuza kitu siyo kwasababu ni bora kuliko bidhaa nyingine, ila bali ni taswira uliyowajengea watumiaji vichwani mwao na ndiyo maana makampuni yanatumia ela nyingi kuwatumia watu mashuhuri kama wanamichezo na wasanii kwenye matangazo kwakuwa mtu akifikiria karanga anamuwaza diamond anawaza diamond karanga.
Note una rebrand kitu uwa mara nyingi hubadirishi ladha, bali lengo nikubadirisha muonekano wake na perception ya watu kuhusu hiyo bidhaa. Diamond karanga ilikuwepo ikashindwa penya soko, walipoirudisha ikaja kama bidhaa ya diamond na ikatoboa.