Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wewe unaunga mkono kununua second or third hand?Unfortunately Nchi hii watu Huwa hawajadili hoja Bali mipasho na watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaunga mkono kununua second or third hand?Unfortunately Nchi hii watu Huwa hawajadili hoja Bali mipasho na watu
Hivi yule Tulia;Magufuli alimtoa wapi?eti Kuna mtumba mwingine ni mpya,kweli!
Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho.
Jana alimtoa jasho Waziri wa Fedha kila mara kutoa ufafanuzi kuhusiana na hoja zake. Ilifikia wakati mpaka Waziri wa Fedha anapata jazba kuhusiana na hoja zake ambazo kwa kweli zilikuwa hoja zilizo na mashiko.
Nimeona karibu Wabunge wengi hawapitii hizi sheria kabla hazijaingia Bungeni na jana asilimia 99 walikuwa kimya isipokuwa Jemedari Mhe. Mpina. Mhe. Mpina kwa kweli anasoma na kufanya utafiti ndo maana ushauri wake pengine unawaudhi wahusika.
Mwisho, nikupongeze Mhe. Mpina endelea kuishauri Serikali hata pale unapochukiwa.
Alafu Spika wa hovyo anaunga mkono kuwa eti Wataalamu wataenda kukagua Ili kuruhusu bidhaa chakavu inunuliwe!Jamani hamjaelewa tu samia analipeleka taifa pabaya? Sheria gani hiyo kuruhusu nchi kununua vitu chakavu. Bila shaka udhibiti utakua hauwezekani serikali itakua inauziwa vitu vibovu kwa bei mbaya.
Chris Lukosi ajiandae kuwaletea Mawaziri Range za mtumba kwa gharama za Watanganyika!Yuko upande sahihi wa historia amejitenga na walarushwa
Mtumba haina bei maalum Wapigaji ndio dirisha lao hilo na kuiba fedha za Wananchi.
Speak kila naye anasema team ya kitaalam ndo itakayoruhusu aina ya mitimba ,mwenye mtumba wake anaweza kuhonga hiyo team nzimaYuko upande sahihi wa historia amejitenga na walarushwa
Mtumba haina bei maalum Wapigaji ndio dirisha lao hilo na kuiba fedha za Wananchi.
Wanatuonea uwivu Wanyonge!Hivi unafikiri sisi tu walala hoi tunaonunua nguo za kafa ulaya? Hata serikali yetu inataka kuiga sisi walala hoiii
Mnafiki tu huyu, kakosa uwaziri ndio maana anaigiza uzalendo ila akirejeshewa uwaziri utaona atavyokua kibogoyo. Usiweke guarantee kwa wabunge wa CCM hata siku Moja wanaangalia maslahi tu akipewa tu fungu zuri atakayakana haya yote.Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho.
Usukumani gani? Anachukiwa sana na wafugaji na wavuvi kwa jinsi alivyowatesa. Kingine aliangushwa kwenye uchaguzi wa NEC ngazi ya mkoa na taifa so unaposema ana ushawishi mbona hatukuuona kwenye chaguzi za ndani ya chama?Huyu ndiye alipaswa kuwa NWM. Huyu ana ushawishi usukumani
Yaani nchi imeoza hiiYuko upande sahihi wa historia amejitenga na walarushwa
Mtumba haina bei maalum Wapigaji ndio dirisha lao hilo na kuiba fedha za Wananchi.
2025 hatoboi mafisadi yamejipanga
Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho.
Jana alimtoa jasho Waziri wa Fedha kila mara kutoa ufafanuzi kuhusiana na hoja zake. Ilifikia wakati mpaka Waziri wa Fedha anapata jazba kuhusiana na hoja zake ambazo kwa kweli zilikuwa hoja zilizo na mashiko.
Nimeona karibu Wabunge wengi hawapitii hizi sheria kabla hazijaingia Bungeni na jana asilimia 99 walikuwa kimya isipokuwa Jemedari Mhe. Mpina. Mhe. Mpina kwa kweli anasoma na kufanya utafiti ndo maana ushauri wake pengine unawaudhi wahusika.
Mwisho, nikupongeze Mhe. Mpina endelea kuishauri Serikali hata pale unapochukiwa.
Ahamie CHADEMA aachane na wala rushwa na wapigaji.2025 hatoboi mafisadi yamejipanga
Akipewa uwaziri unadhani ataongea kitu?Ahamie CHADEMA aachane na wala rushwa na wapigaji.
Kwa mawaziri hawa tulio nao tukianza kununua used items basi hapo ndio "tutacheka na ngedere" tutapigwa kwelikweli!
Tatizo wanaambiwa wasitoe siri kwenye viapo vyao.Akipewa uwaziri unadhani ataongea kitu?
Kutetea wananchi ni siri?Tatizo wanaambiwa wasitoe siri kwenye viapo vyao.
Mawaziri wanakuwa ni sehemu ya Serikali na Serikali inaendeshwa na Chama cha wala rushwa.Kutetea wananchi ni siri?
Huyu ni kati ya wabunge wachache wanaojua kazi yao, kazi ya bunge.