Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Sura na saut Inversely proportionalMkuu inawezekana hapendezi kwa sura ndio maana hajawahi kuonekana hata CLOUDS TV. Hata mm nilikuwa navutiwa na sauti ya Anjela Mwoleka wakati akiwa Radio One...nilidhani ni shombeshombe la kiarabu hadi nilipokuja kumuona live sikuamini. Kumbe sura na sauti mara nyingi huwa haviendani.