Numbisa nimekua nikisoma habari zake hasa katika Uzi wa kupeana like.Na nimetokea kuvutia naye kwa jinsi anavyopost vitu vya kuelimisha .Na inaonekana ni mwamke makini.[emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76]
Ningeweza kuongea mengi pm ila.Ila pm umeifunga sio mbaya hata hapa ujumbe utaupata. Numbisa ujue huku kuna kuna jamaa anakukubali kwa kazi ila sio kwa mchezo mchezo.
Ewaaaaaa Numbisa ukuje huku fastaaaaa,, Kuna kijana wawatu kwaufupi anasema ..*moyo wake unayeyuka ndani ya post zako *
Dr Numbisa umepongezwa huku.
Wacha nifuraaaaaaaaah ........chezea
Ka moyo ka kijana kamekudondokea.Nshafika mamie duh kamoyo kalikua hivi
View attachment 657499
Wacha nifuraaaaaaaaah ........chezea
NGUVU YA POST weweee???MTU halali !!! Usiku kucha anakuota the "invisible"
Numbisa unajua Mtoto wa Conte mie huuuuuuuuuhNshafika mamie duh kamoyo kalikua hivi
View attachment 657499
Hapo nimekusoma na umethibitisha kuwa umeona. Kaz njema[emoji1] [emoji2] [emoji3]Shukran mkuu. Pm hatari kule ndo maana pana kufuli bora umetiririka hapa ujumbe umefika
View attachment 657497
Kirafiki tyuuuuu