NAMKUBALI SANA NUMBISA

NAMKUBALI SANA NUMBISA

Ewaaaaaa Numbisa ukuje huku fastaaaaa,, Kuna kijana wawatu kwaufupi anasema ..*moyo wake unayeyuka ndani ya post zako *
38b6ea54c545c2b037151a768b134cb4.jpg
 
Shukran mkuu. Pm hatari kule ndo maana pana kufuli bora umetiririka hapa ujumbe umefika

source.gif

Kirafiki tyuuuuu
Numbisa nimekua nikisoma habari zake hasa katika Uzi wa kupeana like.Na nimetokea kuvutia naye kwa jinsi anavyopost vitu vya kuelimisha .Na inaonekana ni mwamke makini.[emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76]
Ningeweza kuongea mengi pm ila.Ila pm umeifunga sio mbaya hata hapa ujumbe utaupata. Numbisa ujue huku kuna kuna jamaa anakukubali kwa kazi ila sio kwa mchezo mchezo.
 
Back
Top Bottom