Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
...teh hee hee...domo zege bwana!Wee Jamaa anzisha Uzi wako kwann unatumia vbaya platform za watu
Ujumbe umefikaNumbisa nimekua nikisoma habari zake hasa katika Uzi wa kupeana like.Na nimetokea kuvutiwa naye kwa jinsi anavyopost vitu vya kuelimisha .Na inaonekana ni mwanamke makini.[emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76]
Ningeweza kuongea mengi pm .Ila pm umeifunga sio mbaya hata hapa ujumbe utaupata. Numbisa ujue huku kuna jamaa anakukubali kwa kazi ila sio kwa mchezo mchezo.