NAMKUBALI SANA NUMBISA

NAMKUBALI SANA NUMBISA

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
 
Wee Jamaa anzisha Uzi wako kwann unatumia vbaya platform za watu
...teh hee hee...domo zege bwana!
..sasa unamaind nini,we si unamkubali kwa kazi
...wenzio wanamkubali 'kwa mchezo mchezo!'
 
Love u too my dear
giphy(4).gif

Mimi Love you Numbisa mamiii


Cc Smart911
 
Numbisa nimekua nikisoma habari zake hasa katika Uzi wa kupeana like.Na nimetokea kuvutiwa naye kwa jinsi anavyopost vitu vya kuelimisha .Na inaonekana ni mwanamke makini.[emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji76]
Ningeweza kuongea mengi pm .Ila pm umeifunga sio mbaya hata hapa ujumbe utaupata. Numbisa ujue huku kuna jamaa anakukubali kwa kazi ila sio kwa mchezo mchezo.
Ujumbe umefika
 
Back
Top Bottom