Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa makini na ID mpya, huwa ni wale wale wa zamani wanakuja kivingine, sijamsema Lilith, nasemea ujumla.LIlith hana hayo mambo mazee, mbona munanitisha na mm nishaanza ku fall bakulu?
Unakuta ni I'd mpya ila mwandiko wa kale😆Kuwa makini na ID mpya, huwa ni wale wale wa zamani wanakuja kivingine, sijamsema Lilith, nasemea ujumla.
Haha😂😂Wacha nipambane na Like kwanza labda atalegeza hiki kigingi cha kuwa na hela😁
penzi kwanza😅
Eeeh mangi!! Sema valentine inakuja na jamaa yetu kaona ajipumzishe kwa Qashy Lilith, ngoja tuone kama geti litafunguliwa🤣Unakuta ni I'd mpya ila mwandiko wa kale😆
Fanyeni kweli tule pilau na vyoda.😂😂😂
Ngoja tuone
Tufanye Nini sasa😂Fanyeni kweli tule pilau na vyoda.
UnafurahishaUmeamka mamy🥰🥰🥰🥰🤗
Mkuu huyo mtoto ni pisi fulani hivi ukikata tamaa utakua umezingua kinouma.🙏 amesema ngoja tuone
Kumbe ni mtoto mzuri....aisee kweli pisikali lazima uwe na helaLIKE itamsaidia nini?,. Watoto wazuri wanataka hela na mda wa kuingia kwenye kinyang'anyiro ndio huu... Fanya kabla wenzio hawajakuwahi oooh
😂sijibu kitu mimiWe acha tu, nimemka saa kumi nakuwaza ww tu, kwa nn nisifurahi🤸♂️🤸♂️🤗
Nimefurahi sana mamy. Ushakunywa uji? manake leo ni leo
Hapa umefanyaje ,ukizingua wajomba tukakosa debe la mbege usikanyage nyumbani.😂sijibu kitu mimi