msapinungu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 839
- 692
Ni maumbile tu! ni kama nundu kwa Ng'ombe.Pumbu siyo mzigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maumbile tu! ni kama nundu kwa Ng'ombe.Pumbu siyo mzigo
Una "mdomo" mgumu, ni swali nimekuuliza simulizi katika zipi nilete ipi.Una kichwa kigumu, ni swali nimekuuliza sijakuambia ipi
Mimi nitajuaje simulizi ulizonazo wewe? Muhimu isiwe chai kama ile ulokunywa castle lite mwaka 1998Una "mdomo" mgumu, ni swali nimekuuliza simulizi katika zipi nilete ipi.
Kichwa kigumu ni sawa kwa mwanaume.
Hakika amekusikia mkuumazeeee Only Lilith can provide
Ngoja tuone😹Kwa nn mamy, c unajua tutakuwa na shuguli😜
shuguli yahitaji stamina, panda shuka ya daladala c unajua tena
Nihakikishe jamboPIcha ya nn tena![]()
Hapo ndo Mimi namhudumia chakula au?
Kwa hiyo mwaka 1998 hakukuwa na castle?Mimi nitajuaje simulizi ulizonazo wewe? Muhimu isiwe chai kama ile ulokunywa castle lite mwaka 1998
Wanakusingizia
Ewaah na yeye anajifanya ameshiba kwlkwl wakati tunajua ana njaaHapo ndo Mimi namhudumia chakula au?
😂😹
Kazi ipo
Naunga mkono hoja 🤣 😁Kuwa makini na ID mpya, huwa ni wale wale wa zamani wanakuja kivingine, sijamsema Lilith, nasemea ujumla.
😂😂😂Ewaah na yeye anajifanya ameshiba kwlkwl wakati tunajua ana njaa
NdioKwa hiyo mwaka 1998 hakukuwa na castle?
Basi umechelewa sana Mjini. Castle Lite toka 1994 zinazalishwa.Ndio
Haya majibu ungeyatoa kwenye uzi wako ili watu wakupopoe vizuri ila uliishia kuukimbiaBasi umechelewa sana Mjini. Castle Lite toka 1994 zinazalishwa.