Namkubali sana Qashy Lilith

Haya majibu ungeyatoa kwenye uzi wako ili watu wakupopoe vizuri ila uliishia kuukimbia
Mimi niukimbie uzi? Hebu nitag nije kwenye uzi. Kuna vitoto vingine vipo mle vinanuka mkojo na maziwa nianze kuvijibu hivyo kweli? Hapana. Mi najibizana na watu wakubwa wenye akili na elimu. Mimi kama kupopolewa labda mtu anipopoe kwa risasi au mabomu....๐Ÿ˜
 
Haya majibu ungeyatoa kwenye uzi wako ili watu wakupopoe vizuri ila uliishia kuukimbia
We nitafute siku nije sehemu tukae nikupe stories kibao za kitaa na ughaibuni....utaniambia tu unataka zipi. Uta enjoy sana.na mimi wala sina makuu.
 
men always suffer with delilah syndrome.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hamna siwezi kukuandika bwana ile story nitakuambia siku moja
Wewe ni kichomi siwezi kuthubutu kwanza jina lako lenyewe ni chizi
 
LIKE itamsaidia nini?,. Watoto wazuri wanataka hela na mda wa kuingia kwenye kinyang'anyiro ndio huu... Fanya kabla wenzio hawajakuwahi oooh
Muambie huyo..Maswala ya Like na watoto wazuri wapi na wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ