Namleta kwenu Laudit Mavugo

Tatizo la watanzania sio wa wavumilivu wakati soka linahitaji uvumilivu. Kilichomkuta tambwe na dan kinaweza kumkuta huyo mavugo kwani washabiki na viongozi wanategemea tu akija asubuhi na ndege jioni aanza kufunga magoli. Mchezaji anahitaji muda kuzoea hali ya hewa, filosofi ya timu, mfumo wa timu, namna ya kucheza na wenzake uwanjani n.k.
 
hahaaa haaa nipo sana mkuu
 
lakini mukukumbuke maneno yenu yatawahukumu...hii tabia ya kusifia visivyo na sifa sijui mtaacha lini??.
 
Hatimae hii Ndoto baada ya mwaka ndo inakamilika.. Karibu Msimbazi Mavugo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…