Tatizo la watanzania sio wa wavumilivu wakati soka linahitaji uvumilivu. Kilichomkuta tambwe na dan kinaweza kumkuta huyo mavugo kwani washabiki na viongozi wanategemea tu akija asubuhi na ndege jioni aanza kufunga magoli. Mchezaji anahitaji muda kuzoea hali ya hewa, filosofi ya timu, mfumo wa timu, namna ya kucheza na wenzake uwanjani n.k.