Namna bora ya kunenepesha, kukuza mifugo na kuifanya iwe na afya bora kwa gharama nafuu

Namna bora ya kunenepesha, kukuza mifugo na kuifanya iwe na afya bora kwa gharama nafuu

mrkazi360

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
69
Reaction score
40
Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji?

mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA

PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa Baharini (Sea Meal Blends)
kama vile Snail Powder, Crab Shell ,Spirulina nk.

Protein hii ni rahisi kumeng'enywa na kuyeyuka katika mafuta (fat soluble) tayari kwa kufyonzwa mwilini kwa
Kiwango kikubwa kwani ina asidi zote muhimu za AMINO kama Lysine na methyonine ambazo mifugo inahitaji kwaajili ya Afya, Ukuaji, Ukarabati na Uzalishaji kwa ujumla.

Aidha protein hii imepatikana kupitia technolojia ya kisasa ya usindikaji (Nano coating processing Technology) ambayo huhakikisha ubora haupungui wala kupotea na hubakia katika hali mumunyifu (kuyeyuka kirahisi kwenye maji, bila kuacha ukungu au kuziba mifumo ya maji shambani)

PROMASS EXTRA.
Hutumiwa na mifugo ya aina yote kama vile Nguruwe, Kuku, Bata Ng'ombe, Mbuzi, Kondoo, Sungura, Mbwa, Farasi, Punda, na jamii zote za ndege!

■FAIDA ZA KUTUMIA
PROMASS EXTRA YA
MIFUGO PLUS.
■huongeza kasi ya ukuaji na
uzalishaji(faida maradufu)
■Huongeza kinga ya mwili
dhidi ya magonjwa
nyemelezi.
■Huwezesha wanyama
wakubwa kama ng'ombe,
nguruwe,mbuzi kuingia joto
kwa wakati na kuzaliana
kwa wingi.
■Huongeza ubora wa mazao
ya mifugo kama vile
Nyama,maziwa ,mayai
■Hukuza kwa haraka na
kuongeza uzito wa Mnyama
na Mayai
■Huongeza Ubora wa mayai
yanayototoleshwa na
kupata vifaranga wenye
afya.

■JINSI YA KUTUMIA
PROMASS EXTRA

KWENYE CHAKULA.
Changanya nusu kilo ya Promass Extra kwenye
mchanganyiko wa kg 500 wa chakula Cha Mifugo yako.

KWENYE MAJI
Changanya nusu Kilo ya Promass Extra kwenye Lita 1000 za maji ya kunywa au Kijiko cha
chakula kwenye 100Lita za maji,

Pata faida mara dufu kwa ghrama ya TZS 30,000/= kwa nusukilo na kuepuka matumizi makubwa ya vyanzo aghali vya protein kama soya nk

WASILIANA NASI
0656 446 991
0747 608 608

MIFUGO PLUS GROUP TUPO DAR ES SALAM TEGETA KWA NDEVU DARAJANI NJIA YA KWENDA JESHINI

PIA TUNAPATIKANA UBUNGO MTAA WA KIJAZI MKABALA NJIA PANDA YA CHUO KIKUU

702c6efe-2c69-4907-b676-31545574f0e0_0_watermark.jpeg
images (60).jpeg
images (56).jpeg
 

Attachments

  • images (58).jpeg
    images (58).jpeg
    56.5 KB · Views: 45
  • images (61).jpeg
    images (61).jpeg
    80.2 KB · Views: 36
  • images (55).jpeg
    images (55).jpeg
    35.4 KB · Views: 38
  • images (54).jpeg
    images (54).jpeg
    19.1 KB · Views: 40
Back
Top Bottom