Namna bora ya kupika pilau lenye mchanganyiko wa viazi mviringo ndani na njegere

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu.

Asanteni
 
Khaaaa!!!Na uzee wote huo huwezi kupika pilau?!Unajua tu kunywa Kilimanjaro?
 
Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu.

Asanteni
Ongeza pilipili hoho, sukari kiasi,ndimu kiasi,kabeji usisahau na popcorn kidogo,,
Naimani utanifafuta kunipa shukrani.
Mapishi memaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…