music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie
Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project niliyoiandika namfikishia nani kwenye kampuni? Wanataka project za mlengo upi?
Nikipata pia contact za wahusika itanisaidia sana.