music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Corporate social responsibility hawashughuliki na mtu mmoja mmojaNatamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie
Mwenye kufahamu naomba anisaidie ujanja nifanyeje? Na wanahitaji nini ? Kama nna idea ya project niliyoiandika namfikishia nani kwenye kampuni? Wanataka project za mlengo upi?
Nikipata pia contact za wahusika itanisaidia sana.
Si kweli acha kupotosha ukiwa na wazo linaloweza kuisaidia jamii na linaendana na sera za kampuni unapewa hela... mfano IMBEJU ni project ya mtu imechykuliwa na bank.Corporate social responsibility hawashughuliki na mtu mmoja mmoja
Hushughulika na matatizo ya jamii kubwa sio ya mtu mmoja mmoja
Na project iibuliwe na jamii sio mtu mmoja
Hiyo ni partnership ya taasisi tatu sio na watu binafsi kwa ajili ya mradi mkubwa wa jamii sio wa individual mmoja unauhusu vijana wanaoibukia kibiasharaSi kweli acha kupotosha ukiwa na wazo linaloweza kuisaidia jamii na linaendana na sera za kampuni unapewa hela... mfano IMBEJU ni project ya mtu imechykuliwa na bank.
Nimeshaona mgodi ukisaidia nursery schools za watu binafsi Geita. Kubali kujifunza broHiyo ni partnership ya taasisi tatu sio na watu binafsi kwa ajili ya mradi mkubwa wa jamii sio wa individual mmoja unauhusu vijana wanaoibukia kibiashara
Nursery school ni mradi wa jamii ya watu wengi wakiwemo watoto wa wafanyakazi wa mgodi na kadhalika kama jamii ilikuwa ns uhitaji wa Nursery eneo hilo sio kitu cha ajabu mgodi kufadhiliNimeshaona mgodi ukisaidia nursery schools za watu binafsi Geita. Kubali kujifunza bro
Funga kidogo dirisha, upepo ni mkaliNiko siti ya dirishani kabisa
Kweli hii ni sa 7 mchanaFunga kidogo dirisha, upepo ni mkali