Wewe ulichoona ni Betting tu??? Watu wanamiliki maduka ya nguo, viatu, electronics, furnitures, wajenzi, mabati etc.. hawana physical office, kila kitu kiko online, ni wewe kutoa order tu wanakudumia faster... jiongeze mkuu, dunian ya sasa sio Ile miaka ya Nyuma...
siku hzi mtu yuko zake ghetto, anafanya labda biashara ya viatu online, unashanga hujawah muona akifanya kazi yeyote, akitoka n kidogo tu amerudi, unajiuliza huyu jamaa anaishije, kodi analipa on time, hajawah miss siku yake ya umeme hata mara moja, anavaa fresh, totoz kwa sana wanapishana tu.. unabak na maswal buku, ukiangalia unavyomaliza soli za viatu alafu bado mambo magumu... dunia imebadilika mno broh, pakubwa mno mno