Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

Nestor enos

Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
5
Reaction score
0
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kodi IFM, Naomba kufahamishwa tu ni jinsi gani mitandao au internet kiujumla inaweza kunisaidia kutengeneza pesa na sio kuwa vyanzo vyangu vya udaku?. Natumia internet kwa sana, hivyo naamini naweza kushiriki biashara ya mtandaoni kutengeneza pesa.
 
Nafikir lakwanza na LA mwsh ni ku betting only tu!!
 
Wewe ulichoona ni Betting tu??? Watu wanamiliki maduka ya nguo, viatu, electronics, furnitures, wajenzi, mabati etc.. hawana physical office, kila kitu kiko online, ni wewe kutoa order tu wanakudumia faster... jiongeze mkuu, dunian ya sasa sio Ile miaka ya Nyuma...

siku hzi mtu yuko zake ghetto, anafanya labda biashara ya viatu online, unashanga hujawah muona akifanya kazi yeyote, akitoka n kidogo tu amerudi, unajiuliza huyu jamaa anaishije, kodi analipa on time, hajawah miss siku yake ya umeme hata mara moja, anavaa fresh, totoz kwa sana wanapishana tu.. unabak na maswal buku, ukiangalia unavyomaliza soli za viatu alafu bado mambo magumu... dunia imebadilika mno broh, pakubwa mno mno
 
Mkuu huko katika kudakua dakua mtandaoni hujaona hizo tips hata huko YouTube? Anyway, tafta kitu unachopenda ukifanye huko mtandaoni ambacho kitakuwa profitable. But be ware, uwe na mishe zako zingine, making money online is somehow tough long
 
Wewe ulichoona ni Betting tu??? Watu wanamiliki maduka ya nguo, viatu, electronics, furnitures, wajenzi, mabati etc.. hawana physical office, kila kitu kiko online, ni wewe kutoa order tu wanakudumia faster... jiongeze mkuu, dunian ya sasa sio Ile miaka ya Nyuma...

siku hzi mtu yuko zake ghetto, anafanya labda biashara ya viatu online, unashanga hujawah muona akifanya kazi yeyote, akitoka n kidogo tu amerudi, unajiuliza huyu jamaa anaishije, kodi analipa on time, hajawah miss siku yake ya umeme hata mara moja, anavaa fresh, totoz kwa sana wanapishana tu.. unabak na maswal buku, ukiangalia unavyomaliza soli za viatu alafu bado mambo magumu... dunia imebadilika mno broh, pakubwa mno mno
Sasa mbona una attack mtu wakati na yeye katoa wazo lake?

Kila mtu ana mawazo yake hivyo bora ungeweka yako bila kumwattack mwenzio.
 
Hakuna wazo la mwanzo na mwsho.. hilo sio wazo, hayo ni maamuz, that means na mjadala kafunga

alafu hakuna sehemu yeyote niliyo attack... Nimeanza kwa kuuliza swali la mshangao.. alafu nikamhubiria habari njema watu wanafanyaje, hayo mengine ni matatizo yako binafsi namna unavyosoma na kuelewa, sihusiki
 
Mkuu wewe umeingia kumpinga direct na kutoa mawazo yako ambayo ndio umetaka yawe yakufungia mjadala..

Hata hayo uliyotoa japo mwingine yaweza kumfaa ila kuna wengine watayaona yakiwaki.
 
jiunge na jamalife ni kampuni ya networking marketing kupitia hii wengi wamefanikiwa kujua zaidi tuma message kwa whatsapp no 0746349473
 
Kuipata pesa mtandaoni sio mchezo kuna msoto huku
zipo kazi nyingi kikubwa angalia kipi utavutiwa nacho cha kwanza tanguliza mapenzi na hicho kitu utachofanya pesa utapata
 
Back
Top Bottom