Nestor enos
Member
- Sep 15, 2016
- 5
- 0
fanya forex
Wewe ulichoona ni Betting tu??? Watu wanamiliki maduka ya nguo, viatu, electronics, furnitures, wajenzi, mabati etc.. hawana physical office, kila kitu kiko online, ni wewe kutoa order tu wanakudumia faster... jiongeze mkuu, dunian ya sasa sio Ile miaka ya Nyuma...Nafikir lakwanza na LA mwsh ni ku betting only tu!!
Sasa mbona una attack mtu wakati na yeye katoa wazo lake?Wewe ulichoona ni Betting tu??? Watu wanamiliki maduka ya nguo, viatu, electronics, furnitures, wajenzi, mabati etc.. hawana physical office, kila kitu kiko online, ni wewe kutoa order tu wanakudumia faster... jiongeze mkuu, dunian ya sasa sio Ile miaka ya Nyuma...
siku hzi mtu yuko zake ghetto, anafanya labda biashara ya viatu online, unashanga hujawah muona akifanya kazi yeyote, akitoka n kidogo tu amerudi, unajiuliza huyu jamaa anaishije, kodi analipa on time, hajawah miss siku yake ya umeme hata mara moja, anavaa fresh, totoz kwa sana wanapishana tu.. unabak na maswal buku, ukiangalia unavyomaliza soli za viatu alafu bado mambo magumu... dunia imebadilika mno broh, pakubwa mno mno
Hakuna wazo la mwanzo na mwsho.. hilo sio wazo, hayo ni maamuz, that means na mjadala kafungaSasa mbona una attack mtu wakati na yeye katoa wazo lake?
Kila mtu ana mawazo yake hivyo bora ungeweka yako bila kumwattack mwenzio.
Mkuu unasoma chuo cha kodi IFM
Mkuu wewe umeingia kumpinga direct na kutoa mawazo yako ambayo ndio umetaka yawe yakufungia mjadala..Hakuna wazo la mwanzo na mwsho.. hilo sio wazo, hayo ni maamuz, that means na mjadala kafunga
alafu hakuna sehemu yeyote niliyo attack... Nimeanza kwa kuuliza swali la mshangao.. alafu nikamhubiria habari njema watu wanafanyaje, hayo mengine ni matatizo yako binafsi namna unavyosoma na kuelewa, sihusiki
Yes kijana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiunge jkt... unaweza kupata kazi ya kubangua korosho mtandaoni
jiunge jkt... unaweza kupata kazi ya kubangua korosho mtandaoni
hahahahajiunge jkt... unaweza kupata kazi ya kubangua korosho mtandaoni