Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

M Mkuu watu waina ya threads hizo basically wana historia ya kutoka kwenye umasikini.

Wanaukataa umasikini kwa kuwakataa waliowalea kimasikini hadi hapo walipofikia, na mafanikio yao ni kiduchu.

Hawajui kuwa kwa kufanya hivyo machungu ya waliowalea yatawapa laana.
Na kiukweli tabia ya kunyanyapaa ulikotoka, laana hiyo haiwapeleki mbali.
 
Unatafuta hela ya nini kama hauwezi kuwasaidia Mama na Baba kama wapo hai ila JF pana tabia za wahuni zinashangaza kweli unawaanzishia nyuzi wazazi aisee nimeona watu wabinafsi ila huyu ni kiboko na pia atakua na matatizo kama wale wengine waliokua na nyuzi za ajabu ajabu kama hizi...
 
Hawajui kuwa baada ya Mungu, ni baba na mama.
Wazazi wakisononeka, hutoboi.
Vihela vichache alivyo pata mtu anaye nyanyapaa wazazi ,vinaishia kumuua.
 
Naanto Mushi , kabla hata sijamalizia kusoma,naomba nijibu. Umesema wengine hawana elimu. Uchunguze sana utakuta hao hao wanaosema wameblock, wana makaratasi tu akili ni sifuri. Wakati wanawatolea ada wakasome,hivyo vijisenti vidogovidogo wangenunulia mbuzi na kuku, leo wangekua matajiri vijijini. Za kuwarudishia wazazi hazipo kabisaaa,lakini za kulia matunda kimasihara zipo
 
Swali la kujiuliza. Hawa wanaojiona wamefika wanakerwa hata na wazazi wao,wanaongelea wapi? Bungeni? Wizarani? Viwanda vyao? Au kwenye vijiofisi vya watu! Sasa anaeomba bila kitu na kunyimwa,sawa, ni masikini. Lakini anaeombwa na asitoe huku anajiona ana cha kutoa,si ni tahira tu?
 
Hiyo namba 2. nimekuruhusu uje unitembelee ila ukae siku sio zaidi ya tatu, watu wa mikoani mnakula sana ukikaa wiki sitaweza
🤣🤣 mtu anaweza futa chapati ishirini tena kavu ukimpa na chai je si anaweza kula mpaka na kikombe....
 
YANI UNATOA MADA KWA MPWA NYUNGU WE UNAZANI AKILI YAKE IPO SAWA KWA NAMNA ALIVYOKUWA ANAWATUKANA WALIMU HIVI MTU MZIMA NA AKILI ZAKO UNAWEZA KUM BLOCK MZAZI WAKO? HAIWEZEKANI MPWA NYUNGU NI OMBA OMBA MKUBWA WA M PAWA, SONGESHA YANI JINGA JINGA TU SO TOA HABARI ZAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu watafute hela tu mkuu.... asa usipomuhudumia mzazi wako nani atamuhudumia?
 
Ndo hapo sasa ...
 
Sasa Mpwayungu ametokea Dofima, asili ni ombaomba ukijumlisha ombaomba mwenyewe ni mzazi sijui kwanini amewanyima
 
Usimchukulia siriaz mpwayungu, uumbaji bado unaendelea, hivyo hajakamilika
 
Inashangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…