heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Hahaha aiseeMimi wakwangu tumefikia mahali tunaondoka makwetu jumapili asubuhi tunaaga tunaenda kanisani, tunabeba na vitabu vya nyimbo nk haoo tunakutana loji.
Tukifika tunafungua kwa sala, tunaungama dhambi zetu zote (ya uzinzi tunaiweka kwenye kundi la zile dhambi tulizozisahau) then tunaendelea na mambo yetu.
Na kwakweli Mungu amekua muaminifu sana kwetu na tunamshukuru manake unaenda mwaka karibu wa 6 huu tuko pamoja penzi letu linazidi kushamiri 🙏