Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Itakua nishakuoa 🥸Kuniita chumbani, kunioa aaah [emoji81]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua nishakuoa 🥸Kuniita chumbani, kunioa aaah [emoji81]
Itakua nishakuoa 🥸
Nikakuoa tena[emoji23]
Nikakuoa tena
Baba mkwe atajibu[emoji23][emoji23][emoji23] Mahari ulimaliza? Au ulikimbia?
Baba mkwe atajibu
😂😂😂 Huu ni mtego[emoji23][emoji23] Sio mama mkwe?
[emoji23][emoji23][emoji23] Huu ni mtego
😂😂😂 Umenikamata pabaya[emoji23][emoji23][emoji23] Ww si unajifanya mjanja
[emoji23][emoji23][emoji23] Umenikamata pabaya
Ngoja nitulie hapa nisije nikaharibu mpango mzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Endelea
Ngoja nitulie hapa nisije nikaharibu mpango mzima
🥸Mpango gani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nimekukamata utamu leo
HAKUNA.Mko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.
Uko sahihi 💯Anaeweza kukulinda na mumewe asikujue ni huyo huyo mkewe. Yeye ndio anatakiwa awe smart akupange wewe maana ndo anajua ratiba za mumewe na vipi asishikwe.
Usiwe na kiwewe sana na mke wa mtu na ukigundua na yeye amekuelewa sana basi uwe makini sana ukijisahau tuu unashikwa. Manzi akikuelewa sana anakosa umakini, anaanza dharau na kutojali lolote. Anaweza hata kukwita kwake usiku wa manane ukapige hata vichakani. Sasa ukijisahau tuu unashikwa mzee na siku hizi hawakamati ugoni kwa kelele wala hawakupigi, unapigwa pipe tuu mwanawane kwa lengo la kukuchana marinda huku wanachukua Video.
Kuwa makini usiende kiboyaboya utadakwa na utapakwa mafuta mkuu.
Tupo pamoja.
Nasikia huko kuna radi mpaka za ef moja mia tano chap haraka unaipata🤣🤣🤣🤣Humo kama kuna mtu anatembea na mke wako, njoo nikupe number ya mganga iko kigoma hamna haja ya kusafiri unamlipa baada ya kuona matokeo, anambadilisha mpaka mwanaume ana kua paka au mbwa, pia kama wataka radi, au apigwe na stroke ni wewe tu, ila shariti iwe ni kweli usiwe muongo......