TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Mkuu iko hivi,Kutembea na mke wa mtu ni sawa na kucheza moto, tumemshauri aache mara moja kabla hayajamfika ya kuzibuliwa mtaro mbele ya huyo malaya.
Hakuna kitisho hapa na akiwa serious kupokea ushauri wa kumkimbia huyo mwanamke atapona hakika.
Kutembea na mke wa mtu ni WIZI kama wizi mwingine.
Hivi leo hii umfuate mtu anaeiba mali za umma, au mali za kampuni au serikalini, umuambie acha wizi la sivyo ukikamatwa utafungwa etc. Unadhani ataacha? Never!! It doesnt work like that..
Cha maana ni kushauriana jinsi gani ya kufanya usikamatwe manake madhara yatatokana na kukamatwa. Lakini kumtisha eti ooh ukikamatwa utafanywa hivi na vile HAISAIDII..!