Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plus dharau kwa mumewe.Kikubwa kwenye aina hii ya mahusiano ni huyo mwanamke ndio anatakiwa kuwa smart. Wewe hata uwe smart kiasi gani, atakaesababisha mkamatwe ni huyo mwanamke!
Kawaida wanawake hua wana matatizo mawili makubwa;
1. Kujisahau sana anapokua na mtu nje, na hii hupelekea kuanza kufanya makosa ya kizembe mpaka mwisho mnabambwa.
2. Mwanamke anapokua na mtu, ni kama anakua anataka kila mtu ajue kwamba yuko na fulani. Yaani we mwanaume utakuta unajitahidi watu wasijue, ila mwenzio yeye waala ni kama anaona fahari. Hapo ndio habari kusambaa hadi kumfikia mumewe.
Kutembea na mke wa mtu ni sawa na kucheza moto, tumemshauri aache mara moja kabla hayajamfika ya kuzibuliwa mtaro mbele ya huyo malaya.Hivi nyie mnadhani huyu jamaa ataachana na huyo mke wa mtu kisa vitisho vyenu hivi..? Hebu kuweni serious kidogo bana..
Mkuu,Kutembea na mke wa mtu ni sawa na kucheza moto, tumemshauri aache mara moja kabla hayajamfika ya kuzibuliwa mtaro mbele ya huyo malaya.
Hakuna kitisho hapa na akiwa serious kupokea ushauri wa kumkimbia huyo mwanamke atapona hakika.
Ndugu yangu,Plus dharau kwa mumewe.
Mwanamke akikudharau kipimo anachepuka nje
We endelea kuchezea moto, ukipelekewa matakoni kwako usiseme hatujakuonya!Mko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema
Usisahau na kupaka mafuta kila siku akikufuma asikupasue huko nyumaMko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.
Ni kweli sio cha kistaarabu, ila hata usipochapa bado unaweza kuchapiwa vizuri tuu. Unataka kusema hao wote wanaochapiwa sasa nao waliwahi kuwachapia wengine hapo kabla?Kwakifupi unachofanya siyo cha kistaarabu kitakurudia nawewe utachapiwa, what goes around comes around
Sio sawaMko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.
Hapa tunabadilishana uzoefu ila ukweli Ndiyo huo, ukiua Kwa upanga utauwawa kwa upangaNi kweli sio cha kistaarabu, ila hata usipochapa bado unaweza kuchapiwa vizuri tuu. Unataka kusema hao wote wanaochapiwa sasa nao waliwahi kuwachapia wengine hapo kabla?
Nasoma pia 😹😹😹😹Nasoma comments nipate mbinu😅
Nakubaliana na wewe ata uyu ninaekula mwaka wa tatu sasa mumewe akija juwa anaweza kufa kwa stroke,ananipenda balaa,eti siku genye zimemkamata afu mumewe anamwita dady yupo nyumban ananitaka mim,akatunga safari anaenda sijui wapi ili aje mi nikamwambia sio vyema kaushaNdugu yangu,
Wanawake wa sasa sio kama wa zamani.
Kuna wanawake wana heshima zote kwa mume, wana kila sifa ya kuitwa wake bora. Wanafanya majukumu yao yote ya nyumbani kwa ustadi mkubwa sana. Ukiwaona huwezi kamwe kuamini kama ni wachepukaji waliobobea!
Kwani una mpango wa kudate na mume wa mtu?🏃♀️🏃♀️🏃♀️Nasoma pia 😹😹😹😹
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakubaliana na wewe ata uyu ninaekula mwaka wa tatu sasa mumewe akija juwa anaweza kufa kwa stroke,ananipenda balaa,eti siku genye zimemkamata afu mumewe anamwita dady yupo nyumban ananitaka mim,akatunga safari anaenda sijui wapi ili aje mi nikamwambia sio vyema kausha
Ya Mungu mengi....😀Kwani una mpango wa kudate na mume wa mtu?🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Duh...unatoa siri, vibaya hivyoooNdugu yangu,
Wanawake wa sasa sio kama wa zamani.
Kuna wanawake wana heshima zote kwa mume, wana kila sifa ya kuitwa wake bora. Wanafanya majukumu yao yote ya nyumbani kwa ustadi mkubwa sana. Ukiwaona huwezi kamwe kuamini kama ni wachepukaji waliobobea!