Namna gani smart naweza kudate na mke wa mtu na mumewe asishtukie?

Namna gani smart naweza kudate na mke wa mtu na mumewe asishtukie?

Mleta mada ameomba ushauri wa nini cha kufanya ili asikamatwe. Badala ya kumshauri, naona wengi mnakuja na vitisho mara atafumuliwa marinda, mara atazibuliwa mtaro, mara atembee na mafuta..
Guys.. you are not helping..!🤷‍♂️

Hivi nyie mnadhani huyu jamaa ataachana na huyo mke wa mtu kisa vitisho vyenu hivi..? Hebu kuweni serious kidogo bana..
Isije ikawa ni mke wako mkuu.
 
Kikubwa kwenye aina hii ya mahusiano ni huyo mwanamke ndio anatakiwa kuwa smart. Wewe hata uwe smart kiasi gani, atakaesababisha mkamatwe ni huyo mwanamke!

Kawaida wanawake hua wana matatizo mawili makubwa;
1. Kujisahau sana anapokua na mtu nje, na hii hupelekea kuanza kufanya makosa ya kizembe mpaka mwisho mnabambwa.
2. Mwanamke anapokua na mtu, ni kama anakua anataka kila mtu ajue kwamba yuko na fulani. Yaani we mwanaume utakuta unajitahidi watu wasijue, ila mwenzio yeye waala ni kama anaona fahari. Hapo ndio habari kusambaa hadi kumfikia mumewe.
Umenena vyema. Wanawake chenga sana, ila ukipata smart hadi mtoto anakutunuku na hakuna mwingine anajua zaidi yenu wawili
 
Umenena vyema. Wanawake chenga sana, ila ukipata smart hadi mtoto anakutunuku na hakuna mwingine anajua zaidi yenu wawili
Exactly.

Na kiukweli wake za watu wanaliwa sanaa tu kuna watu wamedumu na mke wa mtu kuliko hata mumewe.. unakuta we mkeo mna miaka mitano ya ndoa ila kuna mwamba anamla miaka 8 na zaidi na hujui chochote na maisha yanaendelea kama kawaida.. Hao wanaokamatwa ni asilimia 0.1 tu.
 
Kwakifupi unachofanya siyo cha kistaarabu kitakurudia nawewe utachapiwa, what goes around comes around
 
Asipojua leo kesho atajua kifuatcho ni laana kwenye maisha yako pindi watoto wake wakiteseka kwa kukosa malezi ya wazazi wawili yale maumivu ndio laaana kwako.
 
Back
Top Bottom