Namna gani smart naweza kudate na mke wa mtu na mumewe asishtukie?

Namna gani smart naweza kudate na mke wa mtu na mumewe asishtukie?

Mko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.
Humo kama kuna mtu anatembea na mke wako, njoo nikupe number ya mganga iko kigoma hamna haja ya kusafiri unamlipa baada ya kuona matokeo, anambadilisha mpaka mwanaume ana kua paka au mbwa, pia kama wataka radi, au apigwe na stroke ni wewe tu, ila shariti iwe ni kweli usiwe muongo......
 
Tuko wengi! La muhimu piga nae mechi nyumbani kwako ili likitokea la kutokea unakuwa upo uwanja wa nyumbani.

Lakini haizuii kubananishwa chocho za mbali, kiufupi tu hakuna mnyonge kwenye suala la kuibiwa mke. Unaweza chomwa kisu hata kwa kuviziwa na kushitukaa kitu kimezama tumboni.

Kitu ingine ujiandae kwa mapokezi hasa kama mumewe akigundua na kumtema usimkane.

Kudili na mke wa mtu ni hatari sana ,tatizo watamu balaa mtu unakuwa addictive.
 
Acha ujinga kijana ukikomaa na mke wa mtu utazibuliwa mtaro mbele ya huyo malaya wako.
Mleta mada ameomba ushauri wa nini cha kufanya ili asikamatwe. Badala ya kumshauri, naona wengi mnakuja na vitisho mara atafumuliwa marinda, mara atazibuliwa mtaro, mara atembee na mafuta..
Guys.. you are not helping..!🤷‍♂️

Hivi nyie mnadhani huyu jamaa ataachana na huyo mke wa mtu kisa vitisho vyenu hivi..? Hebu kuweni serious kidogo bana..
 
Yani wabongo hbana🤣🤣🤣wanauwoga kishenzi.sisiwachache wenye ujasiri tunafaidi tuu.

mkuu jiulize wewe unaweza kumfr mtu ukimfumania namkeo?
kula mkehuyo acha uoga uoga hutapata mambo mazuri.

nawala sana wakezawatu
 
Yani wabongo hbana🤣🤣🤣wanauwoga kishenzi.sisiwachache wenye ujasiri tunafaidi tuu.

mkuu jiulize wewe unaweza kumfr mtu ukimfumania namkeo?
kula mkehuyo acha uoga uoga hutapata mambo mazuri.

nawala sana wakezawatu
Sisi wabongo bure kabisa!
 
Ni wanaume dhaifu tu ndio wanakuwa na mahusiano na wake za watu. Na wanaume dhaifu hufa vifo vya hovyo na vya aibu.
Vifo vyote ni vya hovyo mkuu, hata usipotembea na wake za watu bado utakufa kifo cha hovyo na cha aibu. 😀
 
Back
Top Bottom