heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Hahaha aiseeMimi wakwangu tumefikia mahali tunaondoka makwetu jumapili asubuhi tunaaga tunaenda kanisani, tunabeba na vitabu vya nyimbo nk haoo tunakutana loji.
Tukifika tunafungua kwa sala, tunaungama dhambi zetu zote (ya uzinzi tunaiweka kwenye kundi la zile dhambi tulizozisahau) then tunaendelea na mambo yetu.
Na kwakweli Mungu amekua muaminifu sana kwetu na tunamshukuru manake unaenda mwaka karibu wa 6 huu tuko pamoja penzi letu linazidi kushamiri 🙏
Uko sahihi 💯
Mwanamke akipenda anakuaga hatumii akili kabisa, anakua tayari kwa lolote.
Kuna mmoja nilikua nae siku moja nikamuuliza "hivi mume wako akikukamata itakuaje..?"
Akajibu "Atakavyoamua yeye, akiamua kuniacha sawa akiamua kuendelea na mimi sawa."
WeeeeJifanye shoga
Sasa si anapenda vya bure? 😅Weeee
Tembea na KY kabisaMko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.
WEWE NI ASKARI POLISI UNAKAA KIBAHA si ndioHuyo mumewe kama ni mtu wa mkoa wa mbeya jiandae kurogwa.
HongeraMko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.
UtapakatwaMko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.
Usimpigie simu wala kutuma sms hadi yeye aanzishe mawasiliano na usimle karibu na anapoishi yeye au weweMko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.