Namna gani tunaweza kumpata Rachel Dangwa ili ashtakiwe?

Namna gani tunaweza kumpata Rachel Dangwa ili ashtakiwe?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Habari za hasubuhi?

Salute Rachel Dangwa @rachel_dangwa6 Napenda unique style yako ya kupambana na hawa wauaji washe.jpg

Huyu binti anaitwa Rachel dangwa anatakiwa apatikane na arejeshwe nchini ashitakiwe.

Sote tunaona nchi yetu kwa sasa inavyoendeshwa, Maisha ni magumu, Wananchi hasa wa hali ya chini wamekosa kabisa msaada, Matajiri wanajimilikisha maeneo, Vitu vimepanda bei na mambo mengi sana yanayoumiza yapo na msaada hauonekani.

Imefika hatua watu wameamua kudeal na utafutaji wa mkate mambo ya nchi wameacha iende ende tu kwa sababu hakuna cha kubadilisha zaidi ya kujitafutia majeraha and no one cares.

Licha ya mambo kadhaa ambayo metaja na mengine ambayo yanakwaza sio grantee ya kuwatukana Viongozi matusi ya nguoni hasa ukizingatia wana familia, Mama za watu, Wake za watu, wengine baba za watu.

Kama kuna changamoto au kuna harakati mtu anafanya sio mbaya lakini zifanyike in constructive ways sio kutumia matusi ya nguoni hii sio sawa.

Huyu binti Rachel dangwa harakati zake sio harakati anafanya mambo ya ajabu sana, hakuna anayefurahia namna tulipo kama nchi kwa sasa Ila kutoka hapa sio kwa kutumia style ya Rachel dangwa.

Anatakiwa kutafutwa na kufunguliwa kesi ili atoe ushahidi wa tuhuma na kauli zake za ajabu.
 
We ndio unafaa ukamatwe ndugu yangu upelekwe mirembe. Unasema mama za watu cjui baba za watu na wake za watu wanatukanwa je hao wanaoteseka tanzania hii hawana watoto wao ni wagumba, ni masingle mothers hawana waume. Hawa watu kwanza hawajatukanwa hata kidogo. Wewe mtu hufai nakwambia
 
Yupo Japan huko kamtafute.Sema mbona wakiwa wanateka watu hawawazi hizo constructive ways unazosema?

Anyway,Rachel hana kosa lolote.Kama utazungumzia maadili labda kama unaamua kua biased tu ,maana kula rushwa ni immoral pia ambayo viongozi wako wanafanya kila siku.Mbona hakuna hoja za kuwakamata wao pia?
 
Back
Top Bottom