Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,192
- 6,384
Kamkamate.
Malalamiko utoe wewe halafu unataka utafutiwe unayemlalamikia?Mtafute mwenyewe kama amepotea.Habari za hasubuhi?
Huyu binti anaitwa Rachel dangwa anatakiwa apatikane na arejeshwe nchini ashitakiwe.
Sote tunaona nchi yetu kwa sasa inavyoendeshwa ,Maisha ni magumu ,Wananchi hasa wa hali ya chini wamekosa kabisa msaada ,Matajiri wanajimilikisha maeneo ,Vitu vimepanda bei na mambo mengi sana yanayoumiza yapo na msaada hauonekani.
Imefika hatua watu wameamua kudeal na utafutaji wa mkate mambo ya nchi wameacha iende ende tu kwa sababu hakuna cha kubadilisha zaidi ya kujitafutia majeraha and no one cares.
Licha ya mambo kadhaa ambayo metaja na mengine ambayo yanakwaza sio grantee ya kuwatukana Viongozi matusi ya nguoni hasa ukizingatia wana familia ,Mama za watu ,Wake za watu ,wengine baba za watu .
Kama kuna changamoto au kuna harakati mtu anafanya sio mbaya lakini zifanyike in constructive ways sio kutumia matusi ya nguoni hii sio sawa.
Huyu binti Rachel dangwa harakati zake sio harakati anafanya mambo ya ajabu sana ,hakuna anayefurahia namna tulipo kama nchi kwa sasa Ila kutoka hapa sio kwa kutumia style ya Rachel dangwa .
Anatakiwa kutafutwa na kufunguliwa kesi ili atoe ushahidi wa tuhuma na kauli zake za.ajabu.
Akikamatwa na kufunguliwa hayo mashtaka utapata faida gani, ama asipokamatwa utapata hasara gani? Akili zako zina akili kiasi gani? Kama utataka kureply hakikisha umewaza vya kutoshaa, kama hutofanya hivyo better u mute+Habari za hasubuhi?
Huyu binti anaitwa Rachel dangwa anatakiwa apatikane na arejeshwe nchini ashitakiwe.
Sote tunaona nchi yetu kwa sasa inavyoendeshwa ,Maisha ni magumu ,Wananchi hasa wa hali ya chini wamekosa kabisa msaada ,Matajiri wanajimilikisha maeneo ,Vitu vimepanda bei na mambo mengi sana yanayoumiza yapo na msaada hauonekani.
Imefika hatua watu wameamua kudeal na utafutaji wa mkate mambo ya nchi wameacha iende ende tu kwa sababu hakuna cha kubadilisha zaidi ya kujitafutia majeraha and no one cares.
Licha ya mambo kadhaa ambayo metaja na mengine ambayo yanakwaza sio grantee ya kuwatukana Viongozi matusi ya nguoni hasa ukizingatia wana familia ,Mama za watu ,Wake za watu ,wengine baba za watu .
Kama kuna changamoto au kuna harakati mtu anafanya sio mbaya lakini zifanyike in constructive ways sio kutumia matusi ya nguoni hii sio sawa.
Huyu binti Rachel dangwa harakati zake sio harakati anafanya mambo ya ajabu sana ,hakuna anayefurahia namna tulipo kama nchi kwa sasa Ila kutoka hapa sio kwa kutumia style ya Rachel dangwa .
Anatakiwa kutafutwa na kufunguliwa kesi ili atoe ushahidi wa tuhuma na kauli zake za.ajabu.
Ndonani huyo na anafanya kazi gani??
Kweli serikali Kuna mambo inachemka,ila matusi ya huyu Binti ni professor wa matusi!Habari za hasubuhi?
Huyu binti anaitwa Rachel dangwa anatakiwa apatikane na arejeshwe nchini ashitakiwe.
Sote tunaona nchi yetu kwa sasa inavyoendeshwa, Maisha ni magumu, Wananchi hasa wa hali ya chini wamekosa kabisa msaada, Matajiri wanajimilikisha maeneo, Vitu vimepanda bei na mambo mengi sana yanayoumiza yapo na msaada hauonekani.
Imefika hatua watu wameamua kudeal na utafutaji wa mkate mambo ya nchi wameacha iende ende tu kwa sababu hakuna cha kubadilisha zaidi ya kujitafutia majeraha and no one cares.
Licha ya mambo kadhaa ambayo metaja na mengine ambayo yanakwaza sio grantee ya kuwatukana Viongozi matusi ya nguoni hasa ukizingatia wana familia, Mama za watu, Wake za watu, wengine baba za watu.
Kama kuna changamoto au kuna harakati mtu anafanya sio mbaya lakini zifanyike in constructive ways sio kutumia matusi ya nguoni hii sio sawa.
Huyu binti Rachel dangwa harakati zake sio harakati anafanya mambo ya ajabu sana, hakuna anayefurahia namna tulipo kama nchi kwa sasa Ila kutoka hapa sio kwa kutumia style ya Rachel dangwa.
Anatakiwa kutafutwa na kufunguliwa kesi ili atoe ushahidi wa tuhuma na kauli zake za ajabu.