Namna gani tunaweza kumpata Rachel Dangwa ili ashtakiwe?

Malalamiko utoe wewe halafu unataka utafutiwe unayemlalamikia?Mtafute mwenyewe kama amepotea.
 
Akikamatwa na kufunguliwa hayo mashtaka utapata faida gani, ama asipokamatwa utapata hasara gani? Akili zako zina akili kiasi gani? Kama utataka kureply hakikisha umewaza vya kutoshaa, kama hutofanya hivyo better u mute+
 
Kweli serikali Kuna mambo inachemka,ila matusi ya huyu Binti ni professor wa matusi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…