Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
My wife kajifungua wiki moja iliyopita, mtoto wa kwanza huyo, kwa jinsi ninavyomuona huyu mtoto atakuwa na chogo kama la mimi baba yake.
Nimeshawahi kusikia kwamba unaweza ukamfanyia mazoezi mtoto mchanga mwenye chogo hatimaye chogo likapotea (kumlaza chali)?
Je habari hizi ni za kweli? Kama ni za kweli nipeni elimu tafadhali ili nimfanyie mazoezi mwanangu (nikiwa darasa la tatu shule ilikuwa chungu kwasababu ya kuitwa chogo yaliyonitokea mimi nisingependa yaje yamtokee mwanangu).
Sent using Jamii Forums mobile app