Namna gani utaondoa chogo kwa mtoto mchanga?

We muache tu wakimtania inamjengea uzoefu wa kukabiliana na changamoto. Nina ndugu yangu ana chogo alipata ziro form 4 so kuwa na chogo sio kuwa na akili ila pia kama ni wakike halafu akawa analazwa chali hatakuwa na chura aka msambwanda atakuwa na matako mbatalalo yale yanayokuwaga mapajani.
 
Sasa huyo ndugu yako alipata zero, huko ndiko kukabiliana na changamoto? Au kuitwa chogo kulimuathiri hatimaye akaambulia mayai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwetu nilikuwa naona bibi na mama yangu wanatumia samli wanapaka mikononi na kuweka karibu na moto viganja wanafanya kukusanya na kureshape kichwa katoto kakiwa kachanga kabisa kwa siku labda mara 2 mpka tatu zoezi linadum km wiki 2 mpk mwezi mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zoezi linaanza baada ya muda gani baada ya kuzaliwa mtoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We muache tu wakimtania inamjengea uzoefu wa kukabiliana na changamoto. Nina ndugu yangu ana chogo alipata ziro form 4 so kuwa na chogo sio kuwa na akili ila pia kama ni wakike halafu akawa analazwa chali hatakuwa na chura aka msambwanda atakuwa na matako mbatalalo yale yanayokuwaga mapajani.
Uongo
Mbona mimi nililazwa hivyo lkn chura ninae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukikwepa chogo kichwa kitakimbilia mbele kama cha Meko
 
Back
Top Bottom